Haujadanganya hadi Pep Gudiola ashawahi kusema hivyo
Messi akiwa uwanjani ni free player thats why wanamuita Genius
Na ana uwezo wa kujua eneo fulani la adui liko weak au strong, pia tukishambuliwa anajua mistake ni kwa sababu gani(Louis Enrique amewahi kukaririwa hivyo) sasa hizo talent zote ni nini kama sio genius?