nandengele
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 689
- 807
chambua mpira kiufundi acha hizo porojo sema liver anaweza mshinda barca kwa hili na hili na kinyume chake pia au madrid atamfunga barca au bayern kwa kutumia mfumo huu na ule na sio kusema liver atafungwa na barca umekua mgangaMkuu hii kitu kweli kabisa. Ila leo mmetufunga ni kwa uzembe wetu mkikutana na timu ina foward line kali kama Liverpool nyie mbafungika. Barcelina hii ya hawa wanyakyusa Mwamtiti siyo ile ya kina Puyol.
Mmetukuta na sisi wenyewe wabovu.
Nakutana mimi kwa mm sasa hapo ni moyo kuamua uwe upandegani tuHahaha
Hongereni next mnakutana na City
Hahah sasa babu hujui jinsi ya kufanya kweli?Am happy... naomba Mungu asaidie droo ya semi... Barca asikutanishwe na Liver... maana hakika ntashindwa niwe upande upi...
Next season Mkuu hii timu itakuwa zaidi ya motoNext season ndo tutawamaliza opponents wote ushindi wetu utakua clean sheet goli 4 kwenda juu
Leo mmekuwa wabovu tena wakati nyie mna record ya kuwatoa Barca.Mkuu hii kitu kweli kabisa. Ila leo mmetufunga ni kwa uzembe wetu mkikutana na timu ina foward line kali kama Liverpool nyie mbafungika. Barcelina hii ya hawa wanyakyusa Mwamtiti siyo ile ya kina Puyol.
Mmetukuta na sisi wenyewe wabovu.
Muwe mnakumbuka na kuleta mirejesho sasaangalia msije kuwa kama wayahudi.
waliomtafuta yesu baada ya kupaa ndo wakaona umuhimu wake.
all the best.
Shemale vp kende hazijapasuka tu?Tonight nitakua naangalia mpira huku nimebinya mapumbu.
William akitupia kamoja, Hazard akamalizia kapili nazima taa nalala.
3-0babu kaniambia kwamba barca OUT.
iwe mvuaa au jua au theluji..
BARCA OUT.
Dah pagumu sana. Japo ningependa Barca apigwe ili Suarez na Coutinho waumie lakini bado kadamu kanakataa kukubali... dahUtarusha tu shilingi babu
Sasa mkuu ulitaka na leo chelsea wapaki bus kweli?Conte hana akili au ameipuuza barca. Kumbuka siku anacheza na city round ya pili epl,alipaki bus kisa city lakini leo anashambulia dhidi ya barca,aibu yake sasa hii.
Hahah! hatar kwel kwel ila usijar hawaweza kukutanaDah pagumu sana. Japo ningependa Barca apigwe ili Suarez na Coutinho waumie lakini bado kadamu kanakataa kukubali... dah
Sasa mkuu ulitaka na leo chelsea wapaki bus kweli?
Nakuelewa lakini they needed to score ndio mana walifunguka ili wapate goal, ukuta wa barca wa sasa ni mgumu hawezi mchezaji mmoja au wawili kusimama peke yao. Kwahyo walihitaji team work kufanikisha hilo dho limefail. Kitu kingine lile goal la mapema kabisa ndio liliwavuruga kabisa ata wangepark bus ilikua haina maana tenaWalijiachia sana atleast wangekuwa solid defensively kuliko kutawanyika sana,kumbuka hata baada ya city kuwachapa goli moja hawakuwa na la kupoteza lakini waliendelea kukaa nyuma tu,nadhani umenielewa.
Barca vs Sevilla, Liverpool/ Juve, Madrid/ Man cityAm happy... naomba Mungu asaidie droo ya semi... Barca asikutanishwe na Liver... maana hakika ntashindwa niwe upande upi...