FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu unatakiwa ujue roberty sio fullback n mild field . yaan kucheza Namba mbil bora angecheza vidal
 
Narudia tena tatzo la barca ni midfield., nilijua Robert sasa atapewa chance ya kucheza kat haswa ukizingatia wachezaj wengi Wa barca haswaa iniesta, ractic na busquet wanakua overrated kwa sababu ya umri. Huu mda ndo tulipaswa kuwapa nafac kina rafinha , roberty na Denis Suarez huku wakichukua utaalam kutoka kwa mafund wakongwe.. We are doing a very big mistake.

Barcelona nayo imeingia kwenye floppy kubwa sana kwa kununua kwa gharama kubwa pacpo kua na sababu.., iko wap lamasia .? Leo hii iniesta ama busquet akiumia nan atacheza mpira kama ule.?
 
Wameenda tena kumnunua Artha sijui wa kazi gani
 
Wadau kuna kina dalili ya kupigwa na Atletico na Chelsea sababu ya ujinga wa kocha na pia makombe tutayasikilizia kwa jirani nawaambia
Kocha hana sababu ya msingi kumweka Denis njee matches 11 alafu anaangaika na magarasa kama Gomez na Vidal ambao hawana maana kwa team
 
Kocha alipaswa gemu ya jana amuanzishe Coutinho toka mwanzo coz yeye hatacheza Champions league games kwa Barcelona msimu huu.
Gemu ya jana ilitakiwa kushinda ili kuondoa mchecheto kwenye gemu ya Atletico Madrid.
 
Valverde ni mpumbavu na mamliki aliyetumwa kutuharibia team yetu
Mpumbavu kweli na mm nilisema tokea kikosi kilipoteka kua kocha analeta utoto na tusipopata matokeo atakua na chakujibu, yani kuna timu za kudro nazo ila sio Las palmas ya msimu hii kwajinsi walivyo vibonde...

Enriq alitunyima ubingwa msimu jana kwa kudharau timu ndogo hv hv nakumbuka kuna timu kilikua kimepanda daraja kilitupiga ...

Mpira ni mchezo wa ajabu na hautaki kupuuzia mambo ata kidogo, sasa point5 mbele ya atletico ndio nini? Alafu watu wanawachukulia poa hawa Atletico ila sio wakubeza ata kidogo jamaa wana moto wa hatari

Barca wamenidissapoint sana na kocha ndio mratibu wa hili tatizo... Maaaeeee
 
Kocha alipaswa gemu ya jana amuanzishe Coutinho toka mwanzo coz yeye hatacheza Champions league games kwa Barcelona msimu huu.
Gemu ya jana ilitakiwa kushinda ili kuondoa mchecheto kwenye gemu ya Atletico Madrid.
huyu mzembe naona anataka kumaliza ligi bila kufungwa hivyo kawaacha wachezaji wazuri akitegemea kwaajili ya atletico akitegemea kuwafunga Palmas kirahisi. tumeishia kupoteza 2 points na kuweka ubingwa mashakani tuliwapita ATM points 11 leo zimebaki 5! kocha mzembe sana.
 
Na huo ndio uhalisia. Ata mimi siamini Atletico kubeba hili kombe, miaka mingi Barca ndo huwa anabeba sana LA LIGA kuliko timu yoyote, itokeage tu mara moja moja ndo wanabebaga akina Madrid na Atletico.
 
Na huo ndio uhalisia. Ata mimi siamini Atletico kubeba hili kombe, miaka mingi Barca ndo huwa anabeba sana LA LIGA kuliko timu yoyote, itokeage tu mara moja moja ndo wanabebaga akina Madrid na Atletico.
Nakwambia ndg kocha akiendeleza ujinga wake jumapili tunapigwa na ubingwa tunausahau kwani mwaka jana ilikuwaje au mmesahau
 
Naona kuna watu wanazungumza wanavyoweza kuzungumza ujinga wao, kocha ana makosa yake ila makosa yake sio makubwa kama tunavyozungumza hapa. Manager kabla hajapanga kikosi anakuwa na kocha wake msaidizi, na mbali na hawa wawili kuna hawa wanaoitwa technical nini sijui, hawa wanapeleka mbinu kwa makocha na makocha wanachukua maamuzi.

Game ya Jana kosa alilofanya kocha mbalo mimi nimelielewa ni kutompanga Denis Suarez tu. Kikosi alikipanga vizuri ila ndo hivyo matokeo yamekuja hovyo, wachezaji pia wanazinguaga mbali na kocha na pia kuna muda timu timu inacheza nje ya kiwango, mbona hatupigi kelele jinsi chelsea walivyotupelekesha, kisa Messi alifunga? Tumecheza mechi ngapi bila kufungwa, kocha alikuwa Guardiola au ni huyu huyu? Rekod ambayo ameweka huyu jamaa mpaka sasa hata Pep hakuiweka, tunalalamika timu haichezi tiki taka kama zamani ila tulivyo vilaza tunashindwa kutambua kuwa Barca kwa sasa ina defense nzuri kuliko miaka yooote iliyopita, kila kocha ana uzur wake na mapungufu yake.

Chance ya kuchukua La Liga bado ni kubwa sana kwa Barcelona, Atletico bado ana Game kubwa mbili na zote anapiga ugenini, ana Barca na Madrid. Zote hizi mbili hakuna hata moja ambayo anaweza akashinda, labda achukue droo sehemu moja tena Bernabeu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…