Kabla ya goal lao nimeona pia wamegongesha mwamba hapo na takwimu bado zina wabeka mpaka sasa tunachowazidi ni possession tu na shot on target napo hatujawaacha mbali
Huu ujinga anafanya kocha akiendelea nao basi ataighalimu sana timu, hii mechi tulitakiwa kushinda ila kocha kaifanya kuwa ngumu. Kosa alilolifanya dhidi ya espanyol ndo karudia leo