Aisee... Hili swali mbona halijakaa sawa kabisa?Wakuu hivi ikitokea laliga all stars Vs Epl all stars Nani atakufa hapo
Ameen mkuu maneno yako yataendelea kubaki jukwaaani upumzike salama mwanachama mwenzetu wa BarcelonaMmoroco hadi kufa kwake hatofika hata fainali world cup
Sasa hv dawa sio kuwatazama wapinzani wetu tunatakiwa kila game tushinde ndio itakua poa zaidiSevilla wanazingua. dk ya 50 wametundikwa 3. nilitegemea wamsimamishe ATM, ngoja nidozi zangu.
Hii ni kweli mkuu au stor za kitaa tu? Ila kama ni kweli hii deal imekaa kichoko sana kwani yeye Neymar ni nani hadi ajipangie tu anamtaka nani na hamtaki naniSemedo tutamkosa kwenye game na chelsea.
PSG wamechanganyikiwa eti wanataka tubadilishane Coutinho na Mbape kisa Neymar hamtaki Mbape anamtaka Coutinho.
Hii timu inasumbua timu kubwa sana, sis walitung'ang'ania mpaka wakatoa drawEspanyol 1 - Real Madrid 0.
Hii timu kazi ipo.
Umeongea ukweli mtupu ila tulitumia 442 sababu tulikua hatuna ma winger kipindi kile Dembele kaumia na coutinho bado hajaja ndo mana kama unakumbuka tulikua tunawapanga Busquets, Paulinho, Raktic na Iniesta katikati ila Dembele akiwepo tunatumia 433Wakuu mfumo 4 4 2 na 4 4 3 kwa timu yetu upi unatoa matokeo mazuri, kwa upande wangu huu mfumo wetu wa 4 3 3 aliouasisi Pep ndo mfumo bora kuwahi kutokea kwenye timu yetu ukilinganisha na huu wa sasa aliokuja nao Valverde, siudharau mfumo wa 4 4 2 maana hadi sasa umetufanya tusipoteze mchezo hata mmoja ila naona una mapungufu sana hasa upande wa ushambuliaji maana tunakuwa tunajilinda sana kuliko kushambulia kwa wale walioangalia mechi ya juzi dhidi ya Girona watakuwa mashahidi jinsi tulivyokuwa tunafanya mashambulizi mengi tulipoamua kuja na 4 3 3
Nina imani mchezo wa juzi dhidi ya Girona ulikuwa wa majaribio kwa ajili ya marudiano na Chelsea, kwa mfumo wa 4 4 2 chelsea watatusumbua sana maana hakuna mashambulizi na itawafanya wajiamini kuwa wanatuweza
Kama UEFA tutarudisha mfumo wa 4 3 3 basi kikombe tutakiweka kabatini
Hakuna kocha anayepanga mfumo pasipo kutazama kikosi alichonacho.Wakuu mfumo 4 4 2 na 4 3 3 kwa timu yetu upi unatoa matokeo mazuri,? kwa upande wangu huu mfumo wetu wa 4 3 3 aliouasisi Pep ndo mfumo bora kuwahi kutokea kwenye timu yetu ukilinganisha na huu wa sasa aliokuja nao Valverde, siudharau mfumo wa 4 4 2 maana hadi sasa umetufanya tusipoteze mchezo hata mmoja ila naona una mapungufu sana hasa upande wa ushambuliaji maana tunakuwa tunajilinda sana kuliko kushambulia kwa wale walioangalia mechi ya juzi dhidi ya Girona watakuwa mashahidi jinsi tulivyokuwa tunafanya mashambulizi mengi tulipoamua kuja na 4 3 3
Nina imani mchezo wa juzi dhidi ya Girona ulikuwa wa majaribio kwa ajili ya marudiano na Chelsea, kwa mfumo wa 4 4 2 chelsea watatusumbua sana maana hakuna mashambulizi na itawafanya wajiamini kuwa wanatuweza
Kama UEFA tutarudisha mfumo wa 4 3 3 basi kikombe tutakiweka kabatini
Atletico ana Game moja pale Camp Nou.Wakuu huyu mpinzani wetu Atletico na Griezmann wake hawafai ata kidogo yani wapo na moto wa kufa mtu, jana wamempiga tena mtu 4-0 na Griezmann katupa kamba zote nne mixer kugongesha miamba..
Dawa ya huyu sio kumuombea mabaya ni sisi kujiombea mazuri tu tuhakikishe kila game tunapata ushindi mzuri...
Nayo sio game rahisi ata kwetu pia mkuuAtletico ana Game moja pale Camp Nou.
Jumapili tupo nao camp nouWakuu huyu mpinzani wetu Atletico na Griezmann wake hawafai ata kidogo yani wapo na moto wa kufa mtu, jana wamempiga tena mtu 4-0 na Griezmann katupa kamba zote nne mixer kugongesha miamba..
Dawa ya huyu sio kumuombea mabaya ni sisi kujiombea mazuri tu tuhakikishe kila game tunapata ushindi mzuri...
Game nzuri sana pia ngumu sanaJumapili tupo nao camp nou
Atletico anasitisha rasmi mbio zake za Ubingwa La Liga baada ya kuja Camp Nouleo inabidi tushinde. ila Valencia wamenikera kusare. nilitaka wawatupe wale jamaa zetu kwenye nafasi ya nne, Kwenye baridi huko. leo inabidi tumpige las palmas tena goli nyingi. Atletico wanatunyemelea.
Baada ya hiyo Game Atletico hatafikiria tena Ubingwa.Jumapili tupo nao camp nou
jumapili saa 12 na robo jioni ubingwa unaamuliwa. ila imabidi tushinde leo.Atletico anasitisha rasmi mbio zake za Ubingwa La Liga baada ya kuja Camp Nou