FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

mimeona kanaanguka sana kwenye kugombania mpira. ila kwa uwezo na spidi sina shaka naye.
 
mimeona kanaanguka sana kwenye kugombania mpira. ila kwa uwezo na spidi sina shaka naye.
 
What a curve shoot from coutinho!? Yule dogo anajua kucurve mipira kama anatoka nchi za nje Kinyerezi.

Leo team imekuwa na composure na professionalism ya hali ya juu.

Kama kawaida huwa nikifurahi najikuta tu nimetupia kispanish. Mes que un club, contigo el finale por amor de una mujer el Barca para trabajo tamka ( trabayo). Aaaaahaha I feel so gud kwa ushindi huu.

Visca Barca.
 
Eeeh you got my point kuna kitu sikielewi hizi previous match kama ulivyosema kwanini Rakitic anakabisa sana chini?yaani yeye ndo anakua Busquets ?tumemzoea anakabia juu hii imesaidia sana ku solidify defence
 
Hapo hata mimi nashangaa mchizi anavyokabia kwa nyuma
 
Eeeh you got my point kuna kitu sikielewi hizi previous match kama ulivyosema kwanini Rakitic anakabisa sana chini?yaani yeye ndo anakua Busquets ?tumemzoea anakabia juu hii imesaidia sana ku solidify defence
Mkuu naona amekabia juu Leo kwa sababu ya fund Sergio Robert cjui kwa nn kocha anampanga full.. Dogo anaujua sana akitokea katkat. Nafkr no.6 ndo basic aliyokomaa nayo kimpira. Cjui kwa nn full back ..? Czielawagi kabsa hesabu za makocha wetu. Nakumbuka Sergio Robert aliwah kucheza kat el classical moja ..aliuchafua balaa ule uwanja. Hyo mechi nafkr ndo ilisababsha Rafael benitez afukuzwe kaz. Kumbuka Sergio hyo ndo ilikua el classical ya kwanza kwake.
 
Semedo tutamkosa kwenye game na chelsea.
PSG wamechanganyikiwa eti wanataka tubadilishane Coutinho na Mbape kisa Neymar hamtaki Mbape anamtaka Coutinho.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…