FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Rakitic na Paulinho waanziage benchi. napenda MF ya Iniesta/Cotinho, Busi na Roberto ndiyo iwe inaanza.
 
Winger tunayo na ndio Dembele subiri awe fiti
 
Kama mm ningekuwa kocha wa barca kwa sasa ningejaribu pale mbele kuwaweka Suarez kulia, messi ktk na demebele kushoto hasa match ndogo kama ya leo pia malaga
 
Kama mm ningekuwa kocha wa barca kwa sasa ningejaribu pale mbele kuwaweka Suarez kulia, messi ktk na demebele kushoto hasa match ndogo kama ya leo pia malaga
Uko sahihi mkuu, ila leo tunacheza na Girona. Mie kwa leo napenda pale mbele waanze Dembele, Suarez na Coutinho af viungo wawe Busquets, Sergi Roberto na Iniesta alafu mabeki wawe Semedo, Alba, Yerry Mina na Umtiti na kipa awe Cillesen nione tutavokiwasha na naamini kwa kikosi icho leo tutampiga Girona sio chini ya goal 5.
 
Safi sana, Dembele naona mfumo wa sasa wa Baraca haumpi favor
 
Safi sana, Dembele naona mfumo wa sasa wa Baraca haumpi favor
Dembele mkuu mi namuaminia sana na atafanya mengi mazuri tu ila navoona mfumo wa Barca kumweka Coutinho nafasi ya Iniesta ndo naona haumpi favour kwa maana Iniesta anavocheza anampa nafasi sana Jordi Alba apande uku yeye anarudi chini kukaba kuziba shimo aliloliacha Alba sasa akicheza Coutinho huaga sio mkabaji ivo Alba akipanda kunakua na shimo na pia mara nyingi naonaga Alba akipata mpira Coutinho mara nyingi anakimbia mbele atanguliziwe pasi akafunge tofauti na Iniesta ambae anaweza akamfata akachukua mpira wakapiga one two. Mie kwa maoni yangu Coutinho akianza basi ata Iniesta nae aanza kwa ajili ya kumkabia kama alivokua anacheza na Neymar na itamfanya Alba apunguze movement nyingi za kushambulia mana tayari tunae watu sahihi wa kushambulia upande wa kushoto.
 
Ni kweli kabisa lkn mda unavyo enda ata ujua mfumo pia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…