Eden Hazard alikua anahojiwa leo na Foxy Sports. Akasema:
Zaidi ya mwezi sasa hajafanya mapenzi.
Ugwadu wote lazima aumalizie leo pale Stamford Bridge kwa kuwakojolea wale Mbwa wakimbizi wa Catalonia. Wanaotawaliwa na Serikali kutoka Madrid.
Lazima warudi mabandani kwao huku vijambio vinatoa damu.
We need our team iwe fit psychologically
Dembele atakapoingia kama sub atabadilisha mchezo pia ni good strategy ila daah leo sijui atapunguza kuruka ruka na kuwa na balance ?maana mazoezi ya injury yamemu affect anaanguka sana hata confidence anapoteza pia
Best friend wake Fabrigas anaogopa sana Messi akiwa na utulivu wa akili thats what happening today
Yuko cool ,media amezitupa kule aliongeza extra exercises za ku shoot mipira kwa accuracy
Best friend wake Fabrigas anaogopa sana Messi akiwa na utulivu wa akili thats what happening today
Yuko cool ,media amezitupa kule aliongeza extra exercises za ku shoot mipira kwa accuracy