FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barcelona hajawahi kushinda darajani
Barcelona hajawahi kutoka na cleansheet darasani
Waleteni hao
Sio kweli mkuu,
Barca ameshinda Stanford bridge

Ilkua february mwaka 2006 goli 2-1
Jaribu kupitia tena kumbukumbu zako mkuu.
 
Game ya leo
Dembele (kama ataanza) ,Iniesta ,Sergio Roberto ,Paulinho &Rakitic plus Busquets wata determine sana matokeo lwa sababu hawa jamaa ni more defensive sana na hua wanapiga counter kupitia katikati (Hazard,Ngolo kante) na pembeni (left-Pedro na Right - Victor Mosses)
So hata idea ya kujaza sana viungo naikubali lakini inabidi ilete balance na attacking
 
Qumamae...
Pale Hazard, pale Morata. Nyuma mzee Ng'olo Kante. Kubabake walay.
Lazima mbwa wa Catalonya warudi kwao huku vijambio vinavuja damu.

Chelsea pigeni Mbwa haooo!!!
Morata ni miongoni mwa stricker watatu wabovu sn kupata kutokea msimu huu wa uefa

Nyuma ya mwenzie Luis Suarez anayeshika mkia mpk sasa.

Morata alikua na XP ya 4.2 (expected goals) mpk kumalizika kwa group stage

Ila kilichotokea ni actual goal ya 1.0 mpaka hivi sasa.

Kiuhalisia,
MORATA SIO MCHEZAJI TISHIO kwa hivi sasa , UKIWEKA USHABIKI PEMBENI
 
Sitegemei Dembele kupata namba Game ya Chelsea, Dembele majeruhi yamemsumbua sana. Hawezi kutoka kwenye majeruhi na haraka haraka aingia kwenye mechi ngumu kama hii. Messi anaweza akawa yupo sahihi kabisa.
 
Kweli kabisa atatuchomesha, labda aingizwe dk za mwisho kama tukiwa tunaongoza kwa magoli ya kutosha, mechi kubwa sana hii tukizingua hapata kalika kabisa
 
Kweli kabisa atatuchomesha, labda aingizwe dk za mwisho kama tukiwa tunaongoza kwa magoli ya kutosha, mechi kubwa sana hii tukizingua hapata kalika kabisa
Magoli ya kutosha uyapate darajani?
Zimepita barca za kutisha na hawajawahi kuwafunga Chelsea zaidi ya goli 2-1
 
Kweli kabisa atatuchomesha, labda aingizwe dk za mwisho kama tukiwa tunaongoza kwa magoli ya kutosha, mechi kubwa sana hii tukizingua hapata kalika kabisa
Sasa Mess kusema Dembele asipangwe kuna wadau wanamuona anazingua lakini yupo sahihi kabisa.

Kumbuka mtu wa mwanzo kabisa kumpinga Gomez alikua ni Mess na aliwaambia wamuuze lakini hawakumsikiliza. Angalia sasa hv kila mtu hamtaki zaidi ya benchi la ufundi tu.

Mess is Genius..
 
Haya ni maneno ya vijiweni tu!

Messi hapangi kikosi, wala Messi hayumo kwenye board ya usajili.

Inaweza kua personal opinion tu, ila sio decision.

Dembele anahitaji kupona vizuri ndo arudi uwanjani, hii ni mechi ngumu na inahitaji experience pia.

Otherwise, kwa wanaosema tumepoteza hela kwa dembele naamini hamumjui vizuri huyu bwana mdogo!
 
Ndivyo ilivyo sasa Mess anachofanya ni kutoa personal option tu sio decision. Barc n taasisi kubwa sana na kila kitengo kina mtu mwenye taaluma nacho.

Tunachoangalia ni hayo maoni yake kama yapo sahihi au laa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…