FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Katika vitu vinavyoumiza ni hili la denis sijui alimkosea nini kocha. Hajawai kupangwa akaonyesha kiwango duni lakini kocha hataki kabisa kumpanga na wakat mwingne najiuliza inakuaje denis hata bench haonekani lkn gomes yuko uwanjan.
siku za karibuni naona kadennis huwa kanapoteana sana. sijui kutokujiamini sababu ya kusugulishwa benchi?
 
Katika vitu vinavyoumiza ni hili la denis sijui alimkosea nini kocha. Hajawai kupangwa akaonyesha kiwango duni lakini kocha hataki kabisa kumpanga na wakat mwingne najiuliza inakuaje denis hata bench haonekani lkn gomes yuko uwanjan.
Hapo ndipo simuelewi kabisa valverde
 
Yupo Kelvin Debrune KDB na Leroy sane
 
KDB na Sane wapo vizuri sana wanaweza kuanza kabisa ata David silva akiwa katika ubora wake ni aina ya wachezaji wa kichezea Barca
 
De bryune Mkuu yuko level zingine
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…