Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,405
- 2,229
Olympic Lyon alfu kaja kwa pesa ndogo kinomaHeheee ndo Huyu, Sikujua jina lake ila jana nilimkubali sana, Harudishi mpira kwa kipa, anajiamini sana. Alikuwa team gani kabla ya hapa. Ila ni mkali.
Ndio walimuona kwenye michuano ya Euro?Olympic Lyon alfu kaja kwa pesa ndogo kinoma
Euro kabla haijaanza alikuwa already signed yaani ilipoisha tu league1Ndio walimuona kwenye michuano ya Euro?
Ooh! kuna watu wana macho ya mwewe mzee. DuhEuro kabla haijaanza alikuwa already signed yaani ilipoisha tu league1
Hapo ndipo tunapojisifu kuwa tuna jopo zuri la ufundi mfano kuna dogo tumemchukua toka arsenal kwa paund million 20 hajawahi kabisa arsenal kubwa lakini ndyo roho ya team ya vijana ya UKOoh! kuna watu wana macho ya mwewe mzee. Duh
Hakika wanafanya kazi yao vyema kabisa mkuuHapo ndipo tunapojisifu kuwa tuna jopo zuri la ufundi mfano kuna dogo tumemchukua toka arsenal kwa paund million 20 hajawahi kabisa arsenal kubwa lakini ndyo roho ya team ya vijana ya UK
Ili niwaone wapo njema zaidi wamuondoe Gomes anazingua watuHakika wanafanya kazi yao vyema kabisa mkuu
Atawasipomuondoa poa tu ila wasimpange kucheza asugue benchi mana swala la kumuondoa huyo dogo limekua gumu sana sijui kuna nini kati kati hapo?Ili niwaone wapo njema zaidi wamuondoe Gomes anazingua watu
Huyo ndo yeye Umtiti ni bei mmoja matata, binafsi mimi namkubali sanawekeni picha yake tumuone, maana simjui ila kuna jamaa black alikuwa hapo nyuma, alikipiga sana jana. nilikuwa namzarau sikujua kama ndo anapiga mpira vile, anyway ngoja ni google umtiti.
Hahah!! Kiongozi umenikumbusha combat football mana siku hz haichezwi kabisa maeneoUsiombe beki akae umtiti na Tv Thomas vermalen unaweza usipite kamwe wote wanafiki mguuni kabisa hawakabii macho ni kama mshikaji wangu wa humi @kwausalama wangu anavyochezaga combat football homeboy wangu soon tu nakuja tupige kazi
Levante wakikaza wanaweza fanya siku kuwa nzuri. HT 1-1Madrid vp huko?
Watoe pesa tuwafundishe kucheza mpira. Hiyo direct football na macross ni mambo yaliyopitwa na wakati.Madrid msimu ujao wakicheza Europa hamna haja ya kushangaa
Sevilla wanasikitisha sana sio siri yani cjui wana matatizo gani tu?Hawa sevilla wako serious kupigwa tano na eibar?
Jamaa wana hali mbaya sana sio siriMadrid kaumia kaumia kwi kwi kwi kwi wametoa draw nyingine gap ni point 21