Messi match ya juzi kaharibu mood yangu-hizi timu zinazojaza watu nyuma ukifika kwenye 18 unatakiwa ufunge macho u shoot na sio utafute placing au goal la akili. Suarez katika maeneo haya ufunga macho na kuachia bullet shotAlafu anakuja mtu mwingine anamcompare na akina gaucho 😀😀
Of cause madogo walibana sana. Penetration pasi zote hazikufanya vizuri. Lakini pia, Semedo na Digne hawa kucheza vizuri cause walikuwa hawapandishi mipira mbele zaidi kupitia pembeni. Hasa Digne kila akipata mpira anarudisha ndani wakati huo madogo wamechazama pale kati.Messi match ya juzi kaharibu mood yangu-hizi timu zinazojaza watu nyuma ukifika kwenye 18 unatakiwa ufunge macho u shoot na sio utafute placing au goal la akili. Suarez katika maeneo haya ufunga macho na kuachia bullet shot
Sema opposition defence yao iliamka vizuri,on any other day hawa wangepigwa nyingiOf cause madogo walibana sana. Penetration pasi zote hazikufanya vizuri. Lakini pia, Semedo na Digne hawa kucheza vizuri cause walikuwa hawapandishi mipira mbele zaidi kupitia pembeni. Hasa Digne kila akipata mpira anarudisha ndani wakati huo madogo wamechazama pale kati.
Salute sana kwa Fundi wetu Ernesto Valiverd aliliona hilo na kufanya super sub kwa wakati sahihi. S.Roberto na J.Alba walifanya kazi nzuri sana. Kifupi Jana tusingechomoa asee.
There your MkuuSema opposition defence yao iliamka vizuri,on any other day hawa wangepigwa nyingi
Anandoka kijana Wetu,
Bora aende huyo dogo
Anaondoka kijana Wetu,
Kuna jamaa anaitwa alcatara, sijui kwanini barc walimuuza kirahisi sanaBarcelona wanatakiwa waanze kuandaa "Messi" mwingine atakayerithi mikoba ya huyu...
Huko kwenye mpira wa kukimbizana kutamfaa sana maana ana mbio balaa.
Anaondoka kijana Wetu,
Sasa hizi sifa.
Kuna watu watanunaSasa hizi sifa.
Katika watu ambao huwa naumia kuuzwa ni Thiago Alcantara na Cesc FabregasKuna jamaa anaitwa alcatara, sijui kwanini barc walimuuza kirahisi sana
Kama kawa mkuu, ngoja nijaze bando mapema tuLeo valencia anakufa mapema sana
Yaaap langu nlijaza mapema sana naona tu time ndoo inakawiaKama kawa mkuu, ngoja nijaze bando mapema tu
Huyu dada sijui ametokea wapi
Bora aende huyo dogo
Valencia ni Leo?