GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,362
- 5,606
AlavesKuna dogo anaitwa munir asee namkubali sana sijui yupo wapi kipindi hiki
AlavesKuna dogo anaitwa munir asee namkubali sana sijui yupo wapi kipindi hiki
Aliyokuwa kwa mkopo sikumbuki team gani ila yupo hapo spainKuna dogo anaitwa munir asee namkubali sana sijui yupo wapi kipindi hiki
Yupo Alaves kwa mkopoKuna dogo anaitwa munir asee namkubali sana sijui yupo wapi kipindi hiki
Anataka mwona mina anamchango gani, je kasha adapt barca way!!!Yerry mina & Coutinho![]()
![]()
![]()
Wacha tusikilizie muda ukifikaitakuwa poa sana countino akianza
Madridiots msimu huu watatoka kapaMoja kati ya habari nzur sana kuzisikia ktk huu mwaka![]()
![]()
Mkuu mimi ni barca damu lakini sijaona gaucho alichofanya zaidi ya kuweka mpira matakoni Mara kichwani ana kipi kipya zaidi ya kuchezea mpiraWako brainwashed hao wapumbavu ,Gaucho ameshawahi kupata hadi standing ovation Bernabeu ilisimama *****,ni winner wa world cup pia
Hao wajiunga kinachowauma kwa sababu historia ya Dinho iko based sana kwenye team bora ya dunia Barcelona
Yupo AlavesKuna dogo anaitwa munir asee namkubali sana sijui yupo wapi kipindi hiki
Yupo Alaves kwa mkopo Mkuu. Yuko kwenye pick balaa nasikiaKuna dogo anaitwa munir asee namkubali sana sijui yupo wapi kipindi hiki
Ha ha aya huu ni ubishi wa wananyumbani tuachie hapa tuMkuu mimi ni barca damu lakini sijaona gaucho alichofanya zaidi ya kuweka mpira matakoni Mara kichwani ana kipi kipya zaidi ya kuchezea mpira
Ambao mpo brainwashed ni nyie mnaomtetea gaucho mkiambiwa mleta statistics mnaanza kujibu ujinga messi ni bora Mara 7 ya gaucho
Usiwe na wasi wasi watakaza ndiyo ila tunawapiga kama kawa tu. Suarez lazima awauwe Leo...Wakuu wenzetu wamenyolewa jana sebuleni kwako, kwahiyo tusijiamini sana leo tunaweza kaziwa na Espanyol
Yani hao matapeli wangekula nyingi sanaMadrid wanatuogopa wameona heri watoke mapema kabla ya kukutana na kipigo kitakatifu kutoka barca
Nakubaliana na wewe tena ili kupunguza tension tuwalaze goli 2 au 3 first halfWakuu wenzetu wamenyolewa jana sebuleni kwako, kwahiyo tusijiamini sana leo tunaweza kaziwa na Espanyol