FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Samahani ndg inaonekana nabishana na mtu aliyefahamu mpira miaka ya 2010 na wewe itakuwa unaangaliaga clip za Gaucho hujabahatika kumwona enzi akiwa anacheza

Alichokifanya uwanjani ni tofauti na kilicho kwenye video clip?

Dah! Kweli nimeamini watu waliohadhithiwa wanajua kupamba kuliko tulioshuhudia
 
Cha ajabu alichokifanya ni kipi zaidi ya kuweka mpira kichwani sijui matakoni?

wewe umeanza kutazama barca juzi amechukua ballon d'or na mchezaji bora wa dunia mara mbili mfululizo tena kipindi cha wachezaji bora duniani kama zidane,figo,rui manuel costa,nedved,kaka,de lima,pirlo,seedof tena wote wapo form hatari....kwanza wewe barca huijui mbwea unatazama barca kwenye you tube barca imepitia kipindi cha mpito barca bora ilipigwa na chelsea darajani ya kina zola bao nne moja uefa wanakuja nou camp wanachezea sita chelsea barca ikiwa na figo na rivaldo baada ya hapo barca inapotea mpaka 2003 mapinduzi ya gaucho,deco de souza,edmilson dimba la chini,etoo',ludovic guily,puyol,xavi,maquez kipindi hicho iniesta anatokea benchi wakati barca imepotea wapenzi wa kweli tupo nayo sio nyinyi mna timu mbili mbili
 
wewe shabiki maandazi umeanza kutazama barca juzi amechukua ballon d'or na mchezaji bora wa dunia mara mbili mfululizo tena kipindi cha wachezaji bora duniani kama zidane,figo,rui manuel costa,nedved,kaka,de lima,pirlo,seedof tena wote wapo form hatari....kwanza wewe barca huijui mbwea unatazama barca kwenye you tube barca imepitia kipindi cha mpito barca bora ilipigwa na chelsea darajani ya kina zola bao nne moja uefa wanakuja nou camp wanachezea sita chelsea barca ikiwa na figo na rivaldo baada ya hapo barca inapotea mpaka 2003 mapinduzi ya gaucho,deco de souza,edmilson dimba la chini,etoo',ludovic guily,puyol,xavi,maquez kipindi hicho iniesta anatokea benchi mtoto mdogo wewe mbwea wakati barca imepotea wapenzi wa kweli tupo nayo sio nyinyi mna timu mbili mbili
Barca siijui
 
kajifunze mpira mbwea wewe sio unakuja kuchafua page ya barca kujitia na wewe shabiki wa barca......weka mpira shingoni basi na wewe wachezaji wakubwa wakupe heshima yako na uchukue tuzo zote za dunia
Neymar kacheza PSG game 23 lakini kamzidi goals gaucho aliyecheza mechi 90+

Leta statistics matusi hayana nafasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom