Neymar kacheza PSG game 23 lakini kamzidi goals gaucho aliyecheza mechi 90+
Leta statistics matusi hayana nafasi
wewe kweli mpira hujui, wewe shabiki wa neymoney shangilia basi psg sababu yupo huko.....hivi unajua ballon d'or na mchezaji bora wa dunia walikuwa wanatazama uwezo binafsi kubeba team inapokuwa ipo kwenye hali mbaya uwanjani sasa ndio mwanaume gaucho ndio alichokuwa anakifanya mpaka anachukua hizo tuzo na za mchezaji bora wa dunia...tazama zidane anachukua tuzo kwa uwezo binafsi uwanjani...nedved anapewa tuzo mchezaji bora ulaya juventus yote ilikuwa mapegani kwake....ndio maana nakwambia wewe mbwea kajifunze mpira nyinyi ndio mashabiki upepo mnajazana kwenye page yetu ya barca