Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,505
- 41,013
Bunge au kamati ya Bunge ina uwezo wa kikatiba wa kumwita mtu asiye mbunge kama kuna taarifa linataka kuipata kutoka kwa huyo mtu, lakini siyo kwa nia ya kutaka kumwadhibu, kama aavyotishia huyo mpuuzi.Sawa mtaalamu.
Labda mimi sijui kusoma. Hebu niambie hiyo cap 2.1 inasema nani ataitwa kwenye kamati na nani hataikwa kwenye kamati?
Nimekupa mfano, CAG Bw. Assad aliitwa kwenye kamati, mwandishi Paschal Mayala aliitwa kwenye kamati, je bunge lilivunja sheria ipi kuwaita hao wasio wabunge kwenye kamati?
Naweza kua kweli naishi kwenye karne ya zidumu fikra za mwenyekiti lakini nataka wewe pia upanue akili yako, uwe na reasoning mind, usipelekwe pelekwe kama ling'ombe. Akisema tu Fatuma basi wewe kwako ni final and conclusive.
Mtu asiye mbunge, hawezi kuhukumiwa kwa kutumia kanuni za Bunge.