cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 85,840
- 137,553
Waambie hao. Na waelewe.Ni sawa unachosema,pia usitumie matusi tumia maneno mazuri ama ukoo wenu wote ndivyo mlelewa na wazazi na mababu zenu ndicho mlichobahatisha kurithi tokea kwa ancestors wenu.
Ishu iko ivi Kama dhambi ni dhambi mbona mmeikomalia iyo tu.
Hujui hata kumuingilia MTT wa kike akiwa mdogo kiumri ni dhambi kubwa unamuharibu kisaikolojia.
Mie navyojua hakuna wa kuweza kumbadili binadamu mwenzako Bali Aliye juu.
Pia hizi Mambo zilitabiliwa ,dunia itajaa uchafu Sana itakuwa chukizo mbele za Aliye juu. Ataagiza shamba lifyekwe uchafu uchomwe apande mbegu mpya.kikubwa jitahidi uwe msafi shamba siku likifyekwa uachwe ukiwa Kama wa mfano.
Hakikisha unafuata torati ya Musa mkuu.
Kila la heri.