Fatma Karume acharuka na kuhoji; Mkishamuua Dkt. Nshala ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,127
Wakili Msomi Fatma Karume amehoji iwapo Dr Nshala atauwawa ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri ?

Mkimuuwa Dr Nshala ndio Wananchi wataukubali Mkataba wa Bandari?

Mwisho ameuliza, Yuko wapi Shujaa Magufuli?!

Amehoji haya kupitia ukurasa wake wa twitter

Nawatakia Dominica njema!

Pia soma
 
Fatma Karume anatakiwa kumuuliza dada yake hayo maswali, sijui kwanini ametumia wingi kwenye kuuliza maswali yake..

Ajue dada yake amekosa majibu ya wengi yanayoulizwa kuhusu ule mkataba, ndio maana ameamua mambo yajiendee tu, kwake kupata msaada wowote sasa ni wa thamani.
 
Vyovyote vile utakavyochukulia Lugha!

Bandari Salama au Dar-Es-Salaam....chaguo ni lako

Amani na Usalama uwe ndio kipaumbele wa kujadiliana na DPW.

Mkataba unatishia Usalama wetu, na amani yetu.

Mpaka kieleweke.
 
Wakili Msomi Fatma Karume amehoji iwapo Dr Nshala atauwawa ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri ?

Mkimuuwa Dr Nshala ndio Wananchi wataukubali Mkataba wa Bandari?

Mwisho ameuliza, Yuko wapi Shujaa Magufuli?!

Amehoji haya kupitia ukurasa wake wa twitter

Nawatakia Dominica njema!

Huyu DR. NSHALA ni nani tena? Kasema nini hata watake kumwondoa? Lile la katiba mpya liliondoka na DR. Mvungi
 
Mwambieni aache Kiki ana kipi cha maana mpaka auliwe? Pigeni kelele zote DP world lazima waje kuchapa kazi hatuwezi kukubali bandari iendelee kudumaa kisa kelele za waoga wa mabadiliko.
 
Back
Top Bottom