Fatma Karume: Sheria inayokataza mapenzi ya jinsia moja imepitwa na wakati

Ni anapenda kunyonyana visimi na wanawake wenzake. Nasikia ni wa Salama Jabri.
Wanawake ndo mkae tayari sasa kugombea Wanaume na Mashoga

Wanaume wenyewe ni wachache. Na unastuka mchumba wako keshachukuliwa na Shoga na huna pa kushtaki.
Au mchumba wako keshakuwa Shoga.
Hao inabidi waishi katika Nchi yao ya Kishoga.
Anaye ona anapenda Ushoga aende ktk hiyo nchi.
Bado tuna mapori kibao duniani hayana watu.
Hii itabidi niiandikie Thesis ya PHD yangu.
Binafsi mimi hata kumtizama Shoga siwezi.
Najisikia vibaya sana Hakika, na sijui hii haki yangu ya kuishi in Free Public Gays Zone nitaidai wapi.
 
Hao watu wakiruhusiwa wanasumbua balaa.
Tutatongozwa na kupapaswa kila kona bila kujali heshima zetu.

Zitaibuka Clubs za Mashoga kila kona.
Wanakatika mchana kweupee peee shanga nje nje.
Ole wako umkaripie ni kesi mahakamani na jaji mwenye ndo Fatuma lazima ufungwe.

Yaani Mashoga wanajishebedua kipita wanawake.
Mitaani ni ugomvi tu na wanawake kugombea Mabwana.
Sehemu za starehe zitakuwa hazikaliki kabisa.
Maandamano yao ndo usiseme,
Maandamano ya kuruhusiwa kuozeshwa kanisani hadi Kanisa la Anglikana la Marekani likalazimishwa kukubali kuwaozesha.
Si ni halari yao tena.
Sasa hapo na Mabasha nao wanatongoza kila mtu, kwani mwanamume itakuwa halari kutongozwa na huwezi kumshitaki popote.
Si Shoga amekutaka utalalamika nini sasa.
Ushoga unaendana na Unywaji pombe uliokithiri, ulawiti, Ubakaji, uvutaji madawa nk.
Usiombe hao jamaa waruhusiwe kisheria.
Balaa lao sio dogo.
nimecheka had kupaliwa khaaaah.
 
Wanawake ndo mkae tayari sasa kugombea Wanaume na Mashoga

Wanaume wenyewe ni wachache. Na unastuka mchumba wako keshachukuliwa na Shoga na huna pa kushtaki.
Au mchumba wako keshakuwa Shoga.
Hao inabidi waishi katika Nchi yao ya Kishoga.
Anaye ona anapenda Ushoga aende ktk hiyo nchi.
Bado tuna mapori kibao duniani hayana watu.
Hii itabidi niiandikie Thesis ya PHD yangu.
Binafsi mimi hata kumtizama Shoga siwezi.
Najisikia vibaya sana Hakika, na sijui hii haki yangu ya kuishi in Free Public Gays Zone nitaidai wapi.
andika hiyo uone, km utapata hiyo PHD Lol.
 
andika hiyo uone, km utapata hiyo PHD Lol.
Hakika nashindwa kabisa kuishi katika nchi ambayo watu wengi wananuka Mavi, Drugs, Bangi na Mirungi.
Siwezi kabisa, ikifikia hivyo nitamwoba Mwenyezi Mungu anichukue tu.
Hiyo dunia mimi siwezi kuishi kabisa
Sina cha kupoteza. Nilikuja bure naondoka bure.
 
Nimeielewa anataka kuwe na sheria inayoruhusu mapenzi ya jinsia moja.
Sheria ya zamani inayokataza Ushoga na Usagaji zimepitwa na wakati.

Yaani watu wasagane na kufirana na watambulike kisheria ili vyombo vya umma viwaozeshe na kuhalarisha hayo mahusiano kama zinavyofanya Nchi zilizohalarisha Ushoga.

Hivyo waruhusiwe kujitangaza na kutamba hadharani kadri wanavyotaka bila kunyanyapaliwa na mtu yeyote.

Wakitaka kumtongoza Shehe au Mchungaji watoto wa shule au watu wengine iwe sawa tu.

Si ndio hivyo Wewe, Fatuma, na Nyani, mnapigania usiku na mchana ?

Ua sio hivyo.
Tueleweshe basi Mnataka nini hasa wakati kama kufanya mnafanya bila bughudha sikuzote.
Umemaliza kila kitu, ila sasa unawasilisha kwa muhemko mno,
Sasa ushoga ukiruhusiwa hadharani, shida ni ipi?
Hebu nieleze nipate kujua zaidi kwa upana hili jambo.
 
Hakika nashindwa kabisa kuishi katika nchi ambayo watu wengi wananuka Mavi.
Siwezi kabisa, ikifikia hivyo nitamwoba Mwenyezi Mungu anichukue tu.
Sina cha kupoteza.
ushoga upo sana tena mno, na ndio maana wahusika wanataka uhuru wao, wamechoka kujificha wanataka na wao wajimwaye kwa ndoa na send off za gharama, km ndoa nyingne vile
 
Nimesoma na nimeelewa, tatizo ushoga nyie watu mnauchukulia kwa namna nyingine kabisaa, watu wanataka uhuru wao, wala hawataki kuwabughuzi wengine wadiohusika hapana.
Namna ipi, hebu sema.
Kama kuwepo mpo tena wengi tu na hambughudhiwi.
Na mnajulikana.
Mnataka nini hasa tena.
 
ushoga upo sana tena mno, na ndio maana wahusika wanataka uhuru wao, wamechoka kujificha wanataka na wao wajimwaye kwa ndoa na send off za gharama, km ndoa nyingne vile
Muishie huko huko vyumbani mwenu.
Haki zenu zipo huko huko chumbani kwenu.
Mbona wenzenu wavuta madawa ya kulevya hawadai haki yao ya kuwa huru kuvuta hadharani.

Nchi inayoruhusu kila mtu afanye anavyotaka hadharani, haiwezi kuwa Nchi ya Kistaarabu.

Ishieni huko huko chumbani kwenu na hamtabughudhiwa.
 
kusapoti huo uchafu
Niambie kipi kisicho uchafu mkuu.
Watu wananihii mpaka pigs,mbwa, ng'ombe huo je ni usafi ama?
Watu wanabambakizia watu kesi wanauliwa wanaojulikana he huo ni usafi ama.
Kuna watu wanaua ndugu zao ili wawe matajiri he huu ni usafi
 
ukitaka kujua watu wamekengeuka hapa duniani hawamjali hata Mungu, wapo tayari kuunga mkono hoja ya mwanadamu mwenzao kama fatma hivi, huku wakiipinga waziwazi bilakuogopa, Neno la Mungu. fatma kaongea kibinadamu, Biblia imeongea kukataza, watu wanatukuza fatma kuliko Biblia inavyosema. ni kizazi cha ukaidi na wote wanaokifwata watakula jeuri ya ujeuri wao. ni machukizo mbele za Mungu na mtapata thawabu yenu yote mtakunywa hadi mchuzi na kulamba sahani ya ghadhabu ya Mungu.

Hakuna Mungu
 
Shangazi ya yeye wakati mwingine bana, aaahhh

Mimi nataka SHERIA itungwe mwanaume mwenye uwezo wa walau kipato cha Tshs 2m kwa mwenzi take home aweze kuoa wanawake wawilli.

Hilo la shangazi la kutaka mwanaume na mwanaume ama mwanamke kwa mwanamke wafunge ndoa mi sipo kabisaaaaa... yaani unakwenda gesti unavua ngua na yeye anavua ngua afu ngoma zinafanana ... tafadhali tafadhali 🤣🤣🤣🤣
 
then why do we have to do that
According to my own theological point of vews.

The Creator provided human being wide room of choices.

Unlike Angels, Animals and Devils who were given specific living procedure to follow whether they like it or not.

Deuteronomy

"30:19 This day I call heaven and earth as witnesses against you that I have set before you life and death, blessings and curses. Now choose life, so that you and your children may live"

And He directed human beings willingly to abide His Commandments and Procedures, so that they can live in blessed
life
Eg. Rising healthier families and add human reproduction.

Those discussed here, have decided to follow Cursed Life.

Eg. Not rising families and cease human reproduction.
 
Back
Top Bottom