Fatma Karume: Sheria inayokataza mapenzi ya jinsia moja imepitwa na wakati

Ni sawa unachosema,pia usitumie matusi tumia maneno mazuri ama ukoo wenu wote ndivyo mlelewa na wazazi na mababu zenu ndicho mlichobahatisha kurithi tokea kwa ancestors wenu.

Ishu iko ivi Kama dhambi ni dhambi mbona mmeikomalia iyo tu.
Hujui hata kumuingilia MTT wa kike akiwa mdogo kiumri ni dhambi kubwa unamuharibu kisaikolojia.
Mie navyojua hakuna wa kuweza kumbadili binadamu mwenzako Bali Aliye juu.
Pia hizi Mambo zilitabiliwa ,dunia itajaa uchafu Sana itakuwa chukizo mbele za Aliye juu. Ataagiza shamba lifyekwe uchafu uchomwe apande mbegu mpya.kikubwa jitahidi uwe msafi shamba siku likifyekwa uachwe ukiwa Kama wa mfano.
Hakikisha unafuata torati ya Musa mkuu.
Kila la heri.
Waambie hao. Na waelewe.
 
Hivi hoja ya fatuma umeielewa lakini? Wee ndo uliyetaka kuelezaa ukweli ila kuna sehemu umekwama, nafikiri ukielewa vyema hoja yake, utapata jibu na muongozo sahihi.
Nimeielewa anataka kuwe na sheria inayoruhusu mapenzi ya jinsia moja.
Sheria ya zamani inayokataza Ushoga na Usagaji zimepitwa na wakati.

Yaani watu wasagane na kufirana na watambulike kisheria ili vyombo vya umma viwaozeshe na kuhalarisha hayo mahusiano kama zinavyofanya Nchi zilizohalarisha Ushoga.

Hivyo waruhusiwe kujitangaza na kutamba hadharani kadri wanavyotaka bila kunyanyapaliwa na mtu yeyote.

Wakitaka kumtongoza Shehe au Mchungaji watoto wa shule au watu wengine iwe sawa tu.

Si ndio hivyo Wewe, Fatuma, na Nyani, mnapigania usiku na mchana ?

Ua sio hivyo.
Tueleweshe basi Mnataka nini hasa wakati kama kufanya mnafanya bila bughudha sikuzote.
 
Mashoga na Wasagaji wako huru sana katika nchi hii.
Wapo na wanajulikana hadi wanaume wanaitwa Anti.
Na hakuna walipo bughudhiwa.

Mfano mzuri ni Yeye Fatuma, na kijana mmoja anaitwa Nyani Ngabu, kama sikosei.
Wanajulikana siku nyingi sana na wanaishi maisha ya furaha na amani kabisa.
Hawajawahi kubughudhiwa miaka yote hii kwakuwa wanafanya chumbani mwao na kwasiri
kabisa.

Kama ishu ni kutaka kupewa haki ya kuthaminiwa vitendo vyao kwamba waruhusiwe kuingia Makanisani na Misikitini huku wamekumbatiana na kubusiana hii hatulitaki.

Kama haki za kisheria Kila Jamii ina haki na sheria kwa Mujibu wa Ustawi wa Jamii Zao.
Jamii yetu hii ina wajibu wa kuzaliana, na kulea vizaji vyake, kwa desturi tulizo rithi toka kwa Asili, iliyo tuweka juu ya Ardhi na Mbingu hii inayotukuza na kutulea.

Customary Law is THE Only natural source of Community, Municiple and definitely International Law.
Mimi huwa namtaniaga tu Nyani Ngabu, kumbe ni gay? 😂🤣🤣🤣
 
Kamali yenyewe watu wazima wanaruhusiwa kucheza, lkn si hadharani.
Sembuse wafiraji ndiyo waruhusiwe hadharani!!?
 
Noma sana, n
Hao watu wakiruhusiwa wanasumbua balaa.
Tutatongozwa na kupapaswa kila kona bila kujali heshima zetu.

Zitaibuka Clubs za Mashoga kila kona.
Wanakatika mchana kweupee peee shanga nje nje.
Ole wako umkaripie ni kesi mahakamani na jaji mwenye ndo Fatuma lazima ufungwe.

Yaani Mashoga wanajishebedua kipita wanawake.
Mitaani ni ugomvi tu na wanawake kugombea Mabwana.
Sehemu za starehe zitakuwa hazikaliki kabisa.
Maandamano yao ndo usiseme,
Maandamano ya kuruhusiwa kuozeshwa kanisani hadi Kanisa la Anglikana la Marekani likalazimishwa kukubali kuwaozesha.
Si ni halari yao tena.
Sasa hapo na Mabasha nao wanatongoza kila mtu, kwani mwanamume itakuwa halari kutongozwa na huwezi kumshitaki popote.
Si Shoga amekutaka utalalamika nini sasa.
Ushoga unaendana na Unywaji pombe uliokithiri, ulawiti, Ubakaji, uvutaji madawa nk.
Usiombe hao jamaa waruhusiwe kisheria.
Balaa lao sio dogo.
 
ushoga ufundishwe mashuleni
Tatizo la hawa LBGT+ sijui hata kuwatamka siwezagi,wakishapewaga haki wafanye kimpango wao hawaridhikagi

Wanataka sasa kila binadamu aone tendo lao ni kama kitu cha kawaida,kesho tu wataanza kampeni na maandamano barabarani wakitaka uchafu wao ufundishwe mashuleni.

Kiukweli hata ukiwapa haki ile Stigma haiwezi ondoka sababu ni uchafu wao ni against nature,na wakishaanza notice stigma wanaanza lalamika wanaonewa au kunyanyapaliwa utadhani wanalofanya ni jambo la kawaida

Hebu fikiria umemualika jamaa yako kwenye harusi yako au tafrija alafu anakuja na bahasha wake full kukumbatiana na kujibusu mbele ya watoto wako na familia,whaaat a shame

Anything Mungu aliekikata hakitokaa kichukuliwe kawaida,hata waje na campeni kama CCM.
 
Eee Mwenyiezi Mungu, uliye Umba Mbingu na Nchi, tunakuomba sana utuepushe na hili janga la kuhalarisha Ushoga katika Jamii yetu na Nchi yetu.

Ulituumba na ukatupa Kanuni za kuishi sisi wenyewe na Majirani zetu kama ilivyokupendeza wewe Mwenyewe, maana bila kanuni hakuna maisha bora.

Hata wanaotengeneza Magari wanatoa kanuni za kudumu na wanaziita Manual istructions, kwa hayo magari na vyombo vingine wanavyo tengeneza Binadamu wako, la sivyo yataharibika mapema tu, sembuse sisi Watu tuishi bila kanuni zako?

Sisi Binadamu wa kawaida ni vigumu kuzuia hili janga kwakuwa wenye pesa nguvu na umaarufu wamelishikia Bango, hadi Nchi zenye nguvu sana zimeshindwa kuzuia.

Naomba hivyo katika Jina lako Kuu sana kupita majina yote.

Kwakuwa Ufalme ni wako na Nguvu na Utukufu hata Milele.
Aaamin.
 
Mwanasheria Msomi Fatma Karume amepinga kitendo cha kuwaandama na kuwasaka watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja akisema kitendo hicho ni kuwanyima haki ya kuishi kwa amani.

Kupitia ukurasa wake wa twitter Fatma Karume amesema sheria inayokataza ushiriki wa mapenzi ya jinsia moja ( Sodomy) imepitwa ni sheria kandamizi. Wakili msomi huyo amesema kitu ambacho watu wazima wanaamua kufanya kwa hiyari yao faragha ni haki yao hawatakiwi kutokea viongozi wa kuingilia.

Wakati hayo yakiendelea Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amewataka watu wanaotumia akaunti ya Fatma Karume waache mara moja wakati Fatma Karume mwenyewe alishakiri kupitia WhatsApp kuwa hiyo akaunti ya twitter ni akaunti yake halisi.View attachment 918087View attachment 918088View attachment 918090
Astaghfiru lah.
 
Apate wapi
Hao ni Mawakala wa Cults za Kishirikina Kama Freemasonry na nyinginezo.
Lengo lao Jamii isizaliane na kuongezeka na kustawi.

Wanajisikia vibaya sana kama watu wa jinsia mbili wameoana na kujenga familia bora.
Ni anapenda kunyonyana visimi na wanawake wenzake. Nasikia ni wa Salama Jabri. 🤣
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom