Fatma Karume: Sheria inayokataza mapenzi ya jinsia moja imepitwa na wakati

Fatma Karume ni mwanamke aliyepotoka siku zote anajaribu kila awezalo kutetea tasnia yake ya sheria hiyo ndio theory anayoifahamu yeye tu lakini amesahau kwamba hizi katiba ma sheria wanazozisimamia wanasheria ni mazao ya mwanadamu., kuna wakati automatically unatakiwa u-turn kuangalia upande wa pili sisi ni wanadamu yupo aliyetuumba na kutupa miongozo ya namna ya kuishi hapa ulimwenguni., Linapokuja jambo lenye madhara katika jamii kama hili ni kuelekea tu kwa muumba yeye anatutaka tulisimamie vipi?

Haya mambo ya laws hapa ulimwenguni tunasema ni elimu za kitwaghuuti (elimu zinazopingana na amri ya Mungu) si wakati wote tunatakiwa kuzitii kama kuna nafasi ya kupinga ni kupinga tu waziwazi, au kuzichukia angalau.
bahati mbaya sana, Fatma alisoma Ufaransa na Uingereza na akafanya uwakili uingereza. kwasababu hiyo, hajui kabisa sheria za na practice za Mahakama za Tanzania, ndio maana hata uwakili wake anaufanya kwenye arbitration na mikataba na mambo ambayo hayahusishi sana Mahakama. kwenye criminal hajui kabisa na ni mweupe. ninyi mnaosomesha watoto sheria jitahidini degree ya kwanza asome hapa bongo na zingine ndio aende nje ili ajue legal system na sheria za hapa.

ukimsikiliza akijadili katiba, au sheria yeyote ya Tanzania, hajui kabisa na inaonekana wazi. angekuwa anajua sasahivi tungekuwa tunamwona kisutu anamtetea mbowe, lakini kwenye rapsharapsha hizo hayupo kwasababu atashindwa. ni wakili wa human rights na rights zenyewe kwa sheria za kitanzania hajui. pia amelelewa vibaya sana kwasababu anao uhuru uliopitiliza, na haogopi mtu, na unaweza fikiri kidogo nati imechezeshwa kichwani kama sio kwa sembe basi kwa mapepo.

kuhusu kutetea mapunga, fatma na maria wanalipwa na wazungu wawe wanaingiza kidogokidogo viashiria vya ushoga siku mkija kustuka kila kitu kimekubalika au watu wanaona ni kitu cha kawaida. wanapata pesa nyingi na hawana hata haja ya kufanya kazi zingine. sasa kama ameshakula mpunga wa wazungu huko kwenye akaunti yake uingereza akiwaahidi anakuja kuwatetea, unafikiri akiwa hapa atafanyaje ili kujustfy fee?
 
Mashoga wapo na wanaendelea kufanya hayo ya Fatuma ndani sirini hadi sasa.
Sasa huyo Fatuma anawapigania kitu gani ?
Wanabaguliwa huko vyumbani ?
Na nani tena wakati wamejificha peke yao ?

Anapiga debe ili waruhusiwe kufanya mambo yao hadhani sio.
Ili wawashawishi na vijana wetu wastaarabu.

Kwa hili ashindwe kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Ukisikia akina Chizi Maarifa ndio watu jamii ya Fatma.
Elimu aliyoipata ni bure kabisa.

Mufanyane huko huko vyumbani, hadi muchanike misamba hakuna atakaye wabughudhi.
Jinga kabisa.
 
nikajua ni maneno yaliyoshiba maana, kumbe ni uozo mtupu, kaanze upya tena,

mbna mtateseka sana na bado ndo kwanza ushoga unaanza ktoka stand saiv, ngoja uwe njian mbna mtakufa kwa stress.

Poleeeeeeeh
Jamaa kaandika strong obs we unasema pumba! Hivi ukiwa Shoga/msagagaji automatically unakua lijinga?
 
Huu ni Ugonjwa utatuliwe kwa njia ya Kitaalamu na Sio kwa Sheria Kali Kali!!
Hata Hasira za Mungu ziliishukia sodoma na gomora lakini wanadamu badly wana*@*=an!
 
Naunga mkono hoja.
Kama watu wazima wameamua kufanya ishu zao ndani bila kunibugudha mimi, sioni sababu ya kuwaingilia.

Hivi kama watu wanafanya mambo yao sirini wewe inakuuma nini?
ukitaka kujua watu wamekengeuka hapa duniani hawamjali hata Mungu, wapo tayari kuunga mkono hoja ya mwanadamu mwenzao kama fatma hivi, huku wakiipinga waziwazi bilakuogopa, Neno la Mungu. fatma kaongea kibinadamu, Biblia imeongea kukataza, watu wanatukuza fatma kuliko Biblia inavyosema. ni kizazi cha ukaidi na wote wanaokifwata watakula jeuri ya ujeuri wao. ni machukizo mbele za Mungu na mtapata thawabu yenu yote mtakunywa hadi mchuzi na kulamba sahani ya ghadhabu ya Mungu.
 
Ushoga, usagaji na upuuzi wote wa namna hiyo siyo vitu vya kuvivumilia wala kuvichekea nchini mwetu ni uovu wa kiwango cha juu ndiyo maana Sodoma na Gomora ilichomwa moto.
Aliye juu mbinguni atakuja kuhukumu. Unachepuka pia Kuna mwizi hao wote wanamkosea Aliye juu.
 
machukizo mbele za Mungu na mtapata thawabu yenu yote mtakunywa hadi mchuzi na kulamba sahani ya ghadhabu ya Mungu.
Mkuu hayo sio ya kudili nayo,Nina Imani usikute umeshachepuka nayo ni dhambi.
Vipi na wezi wa raslimali za Taifa letu tuwafanyeje Mana hao ndo wezi wanaoua watu bila ya wao kujua. Kuna mama anazalia njiani ama anazaa afu hakuna watalaamu,dawa hakuna hospital Ila unakuta anahonga Malaya wake hotel ya ghorofa badala ya kuwafanyia watu waliomchagua.
Nadhani hii nguvu ielekezwe huko.
Huwezi ukadili na ya moyoni mwa mtu ukayamaliza.
 
Mwanasheria Msomi Fatma Karume amepinga kitendo cha kuwaandama na kuwasaka watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja akisema kitendo hicho ni kuwanyima haki ya kuishi kwa amani.

Kupitia ukurasa wake wa twitter Fatma Karume amesema sheria inayokataza ushiriki wa mapenzi ya jinsia moja ( Sodomy) imepitwa ni sheria kandamizi. Wakili msomi huyo amesema kitu ambacho watu wazima wanaamua kufanya kwa hiyari yao faragha ni haki yao hawatakiwi kutokea viongozi wa kuingilia.

Wakati hayo yakiendelea Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amewataka watu wanaotumia akaunti ya Fatma Karume waache mara moja wakati Fatma Karume mwenyewe alishakiri kupitia WhatsApp kuwa hiyo akaunti ya twitter ni akaunti yake halisi.View attachment 918087View attachment 918088View attachment 918090
Yaan cku hz huwez kaa hata wiki bila kusikia mambo ya ushoga naona huko mbele watakua huru
 
Hii issue inashangaza kidogo. Wazungu ndio walituletea hii sheria tunayoitumia hadi leo ya kwamba, wanafanya hivyo vitendo wafungwe miaka 14/ maisha. Wakatuambia kwamba ni kinyume cha maadili, asili, kimaumbile, Mungu, dini, ustaarabu, kiafya.

Kwa miaka zaidi ya 1000 waliamini hivyo. Miaka 30 iliyopita wamebadilika, wanataka dunia nzima ibadilike nao au haraka sana, ama utapewa vikwazo, negative PR.

Wanatumia,TV, mitandao, internet, movies, vitisho, magazeti, media zote, wasanii, wanamuziki, elimu, watu maarufu kuwafanya watu wote nchi zote zikubali haya mambo yao.

Ikumbukwe pia walihalalisha utumwa na ukoloni kabisa kisheria.
 
wanapewa hela nyingi sana na wazungu kuhamasisha huu uchafu, yeye akiwa na maria na mchungaji mwamakula. wazungu wanakuja polepole mfano, kuna shule zao hata hapa au NGO zao utakuta zina nembo ya rainbow, ukiona chochote iwe nguo, iwe nembo etc ina rainbow jua hiyo ni bendera ya mapunga. na hapa Tanzania hiyo ipo kwenye shule kadhaa na NGOs. mapunga ya ulaya yana pesa nyingi sana na huwa yanachanga na hata kulazimisha serikali zao kuwa na sera ya kutetea mapunga mengine ya nchi zingine kama africa.

kwa sisi wakristo, Mambo ya Walawi 18:22 imeandikwa:-

22 “Kamwe usilale na mwanamume mwenzio kana kwamba ni mwanamke.
Hilo ni chukizo

pia Warumi 1:26 imeandikwa:- 26 Kwa hiyo, Mungu aliwaachia wafuate tamaa zao za aibu. Hata wanawake wao waliacha matumizi ya asili ya maumbile yao wakatumia miili yao isivyokusudiwa. 27 Hali kadhalika wanaume waliacha uhusiano wa asili kati ya waume na wake wakawakiana tamaa wao kwa wao. Wanaume walifanyiana mambo ya aibu, nao waka pata katika miili yao adhabu waliyostahili kama matokeo ya uovu wao

afanyaye hayo yote ni machukizo mbele za Mungu, na jehanum inamhusu.​
kwahiyo bila kivuli cha dini huna hoja ya kupinga ushoga? Na hiyo dini imetoka wapi?
Ama kweli Tz n kichwa cha wendawazimu.
 
bahati mbaya sana, Fatma alisoma Ufaransa na Uingereza na akafanya uwakili uingereza. kwasababu hiyo, hajui kabisa sheria za na practice za Mahakama za Tanzania, ndio maana hata uwakili wake anaufanya kwenye arbitration na mikataba na mambo ambayo hayahusishi sana Mahakama. kwenye criminal hajui kabisa na ni mweupe. ninyi mnaosomesha watoto sheria jitahidini degree ya kwanza asome hapa bongo na zingine ndio aende nje ili ajue legal system na sheria za hapa.

ukimsikiliza akijadili katiba, au sheria yeyote ya Tanzania, hajui kabisa na inaonekana wazi. angekuwa anajua sasahivi tungekuwa tunamwona kisutu anamtetea mbowe, lakini kwenye rapsharapsha hizo hayupo kwasababu atashindwa. ni wakili wa human rights na rights zenyewe kwa sheria za kitanzania hajui. pia amelelewa vibaya sana kwasababu anao uhuru uliopitiliza, na haogopi mtu, na unaweza fikiri kidogo nati imechezeshwa kichwani kama sio kwa sembe basi kwa mapepo.

kuhusu kutetea mapunga, fatma na maria wanalipwa na wazungu wawe wanaingiza kidogokidogo viashiria vya ushoga siku mkija kustuka kila kitu kimekubalika au watu wanaona ni kitu cha kawaida. wanapata pesa nyingi na hawana hata haja ya kufanya kazi zingine. sasa kama ameshakula mpunga wa wazungu huko kwenye akaunti yake uingereza akiwaahidi anakuja kuwatetea, unafikiri akiwa hapa atafanyaje ili kujustfy fee?
nimecheka sana hadi mbavu zinauma. Khaaah sio kwa makasiriko haya.
 
Jamaa kaandika strong obs we unasema pumba! Hivi ukiwa Shoga/msagagaji automatically unakua lijinga?
nikuulize wee hapo, umeona wenzio hoja wanazotoa ktk kupinga huo ushoga?
Ndio maan Kiranga huwa anawakomeshaga, na mnabaki hoi.
 
Back
Top Bottom