Fatma Karume: Sheria inayokataza mapenzi ya jinsia moja imepitwa na wakati

According to my own theological point of vews.

The Creator provided human being wide room of choices.

Unlike Angels, Animals and Devils who were given specific living procedure to follow whether they like it or not.

Deuteronomy

"30:19 This day I call heaven and earth as witnesses against you that I have set before you life and death, blessings and curses. Now choose life, so that you and your children may live"

And He directed human beings willingly to abide His Commandments and Procedures, so that they can live in blessed
life
Eg. Rising healthier families and add human reproduction.

Those discussed here, have decided to follow Cursed Life.

Eg. Not rising families and cease human reproduction.

well said and explained
 
Hakuna Mungu
mashoga ndio mnasema hivyo, ila Neno la Mungu linasema

Zab 53:1 SUV​

Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza, Hakuna atendaye mema.

Neno hili kuna siku litakuja kukuhukumu kama hautatubu na kubadilika. maadamu Mungu amekupa pumzi ya kupumua na kuongea, una hata nguvu za kuandika hapo kwenye keyboard, ni neema yake amekupa siku nyingine na anakupenda mno hata kama haumtambui, na anataka utubu na kubadilika kwasababu hajakuumba uwe hivyo ulivyo. Mungu akusaidie.
 
Niambie kipi kisicho uchafu mkuu.
Watu wananihii mpaka pigs,mbwa, ng'ombe huo je ni usafi ama?
Watu wanabambakizia watu kesi wanauliwa wanaojulikana he huo ni usafi ama.
Kuna watu wanaua ndugu zao ili wawe matajiri he huu ni usafi
wanaofanay huo uchafu hawana tofauti na wanaofanya na hao wanyama, wote wapo kundi moja. ila Mungu bado anawapenda, atawapokea hivyo hivyo mlivyo na atawabadilisha roho mwili na nafsi kama mkikubali na kutii kuacha uovu huo.
 
Ulitaka 1St class na ukakosa, kosa lilikua n lako sio la lecturers,
hujui tu, ila hata hivyo sijafeli maisha, na Mungu ninaye. nakushauri mpokee Yesu awe mwokozi wa maisha yako, anaweza kubadilisha kabisa aina hiyo ya maisha unayoishi, huo mwili ulio nao ni Hekali alilotakiwa kuishi Roho Mtakatifu, namna unavyoliharibu kwa vitendo hivyo, Mungu atakuhukumu. Mungu akusaidie.
 
Hivi mjue hatuna maji ya kutosha ya kuoga, umeme nao uko mguu ndani mguu nnje...kweli kabisa mnakua na mda wa kujadili ushoga?!
 
Ushoga, usagaji na upuuzi wote wa namna hiyo siyo vitu vya kuvivumilia wala kuvichekea nchini mwetu ni uovu wa kiwango cha juu ndiyo maana Sodoma na Gomora ilichomwa moto.

Siyo kila kitu ni cha kupinga tu mambo mengine mema kama hili la kuwafutilia hawa wanaojihusisha na huu uchafu tena wengine wanajitangaza hadharani hatua ya kula nao sahani moja ili wafikishwe mbele ya sheria ni jema ili kuukomesha huu uchafu japo kwa muda maana ni hakika huko mbeleni tutataitiwa tu turuhusu kwa sababu ya umaskini wetu ila kwa sasa acha tupambane nao

LAW. :18:22
Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo.
Siyo bure huyu mama almaarufu Kama shangazi bila shaka ni msagaji! Nadhani Hana mume huyu na atakuwa keshakata tamaa ya .......
 
Back
Top Bottom