Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,247
Nyie ndio wanafiki wakubwa na mnauma na kupulizia kama panya ili mradi mpate kufanikisha mipango yenu,huyo binti hana shida yoyote na hajikombi kwa kiumbe yeyoteUnafiki ni Kitu kibaya sana.
Nyie ndio wanafiki wakubwa na mnauma na kupulizia kama panya ili mradi mpate kufanikisha mipango yenu,huyo binti hana shida yoyote na hajikombi kwa kiumbe yeyoteUnafiki ni Kitu kibaya sana.
Kumbe issue ni kufaidika na CCM? Na wala siyo kwa faida ya NCHI? Ipo siku tutapata watu wenye uzalendo kama akina Fatma kuliko nyie wachumia tumbo.Siitajiki kujitokeza hadharani silence speak loud amejitokeza kujiaibisha angekuwa hajawahi nufaika na serikali anayo isuta ningemuheshim sana ila kwangu nmuona mnafiki
Kwa nini akae kimya wakati wewe unaongea?Tena huyu akae kimya kabisa
Hajui aongealoKwa nini akae kimya wakati wewe unaongea?
Wewe nakuona wewe na wenzako mnapoteza haraka sana kumbukumbu,ni juzi juzi tu rais magufuli wakati anahutubia wazee wa dsm alisema kuwa yeye ndie amiri jeshi mkuu na ndiye anawajibika kuwalinda wazanzibar wote wakiwepo hao wapemba unao wasema,unasemaje kuwa karume aliwauwa wapemba?Kwa hiyo hata wapemba mwaka 2001 aliwaua kihalali kule Pemba.?
nlishasema tangia zaman uyu bibi ni mnafiki wa hali ya juu anatafuta kick za musimu km ni matatizo ya zanzibar mbn yalikuwepo tangia mapinduz km anajua historia aanze na babu yake afatie baba yake bila na yy kujiweka pemben sio kugangania hoja ya shein kutafuta kick za musimu uku akijua matatizo yote yalianzishwa na familia yake tangia enzi za mapinduz narudia tena bi fatma acha unafiki kutumika ni kubayaNibora ifike mahali Bi Fatma akae kimya maana upo msemo unasema nyani haoni kundule, ikiwa anasema Dk Shein sio rais wa znz basi ajiulize Aman Karume alikuwanani na kwa nini hakuwahi fanya haya anayafanya, nadhani anapaswa kuogopa Mungu maana familia yao ni moja ya familia inafaidi matunda ya ccm. nakuliko kuwa ndumila kuwili na watu kumshanga basi bora kuwa kimya.
Akuna mtu mwenye akili anamuelewa huyu bib labda awe muwazi anatumiwa na akina nani maana akumbuke hawezi kuwa double agent ndani ya taifa ambalo yeye anaishi bora angekuwa akina snowden akaenda uwamishoni nakuanza kuchonga ila kwa sasa anachokifanya kama kweli anajuwa sharia basi anafanya ujuma inayoweza kuzaa uhaini ambapo penalt yake ni mbaya sana.
Mimi nasema hana hata misuli yakimapinduzi bora akae kimya nakunywa urojo maana anayotafuta yatakuwa mabaya sana na wenye hekima watamkumbusha tulikwambia chunga domo hilo....... hili ni taifa na rais kasha apishwa. tulia
Wewe unajua?Hajui aongealo
Unatumika wewe,huyo binti karume yupo huru na ni mtu anaye jitambuanlishasema tangia zaman uyu bibi ni mnafiki wa hali ya juu anatafuta kick za musimu km ni matatizo ya zanzibar mbn yalikuwepo tangia mapinduz km anajua historia aanze na babu yake afatie baba yake bila na yy kujiweka pemben sio kugangania hoja ya shein kutafuta kick za musimu uku akijua matatizo yote yalianzishwa na familia yake tangia enzi za mapinduz narudia tena bi fatma acha unafiki kutumika ni kubaya
leo wanatubu kwa Mungu na wanayoyajutia kwa hiyo ni haki yao kuusema ukweli na hiyo ndio toba ya kweliKipindi cha baba yake mpaka watu waliuliwa mbona hakufungua mdomo na kipindi kile kama uchaguzi ulikuwa wa haki kwanini watu walikufa
anajua kabisa kuwa historia ya mapinduz ya znz ilipotoshwa na kundi la nyerere akiwemo babu yake na ndo zao la shein sasa km si mnafiki na mtafuta kick aje atupe historia halisi bila kumuogopa baba ake na uhain uliofanywa na babu yake sio kugangania hoja ya sheinUnatumika wewe,huyo binti karume yupo huru na ni mtu anaye jitambua
Kwahiyo shein yupo sawa siyo?anajua kabisa kuwa historia ya mapinduz ya znz ilipotoshwa na kundi la nyerere akiwemo babu yake na ndo zao la shein sasa km si mnafiki na mtafuta kick aje atupe historia halisi bila kumuogopa baba ake na uhain uliofanywa na babu yake sio kugangania hoja ya shein
Kwani siku zote si amekuwa akilindwa na hao unaosema wanafiki na alikuwa hakatai?
Sasa mnamhukumu nini na anaongea mapungufu ya serikali ya mapinduzi daima?! Wenye nia njema wsiotaka kujipendekeza kwa watawala wangeongezea kuijadili mstakbali wa nchi ili huko mbeleni tusiingie kwenye mgogoro mwingine wa UCHAGUZIanajua kabisa kuwa historia ya mapinduz ya znz ilipotoshwa na kundi la nyerere akiwemo babu yake na ndo zao la shein sasa km si mnafiki na mtafuta kick aje atupe historia halisi bila kumuogopa baba ake na uhain uliofanywa na babu yake sio kugangania hoja ya shein
Hivi wale watu wangekufa ile Januari 26 na 27, 2001 bila sababu ya msingi?Hoja ni kua huo uchaguzi wa 2000 ulikua halali.huu wenu wa sasa ni haramu
Kumbe usharudi toka mombasa raha... Vipi shemeji mzima?Nibora ifike mahali Bi Fatma akae kimya maana upo msemo unasema nyani haoni kundule, ikiwa anasema Dk Shein sio rais wa znz basi ajiulize Aman Karume alikuwanani na kwa nini hakuwahi fanya haya anayafanya, nadhani anapaswa kuogopa Mungu maana familia yao ni moja ya familia inafaidi matunda ya ccm. nakuliko kuwa ndumila kuwili na watu kumshanga basi bora kuwa kimya.
Akuna mtu mwenye akili anamuelewa huyu bib labda awe muwazi anatumiwa na akina nani maana akumbuke hawezi kuwa double agent ndani ya taifa ambalo yeye anaishi bora angekuwa akina snowden akaenda uwamishoni nakuanza kuchonga ila kwa sasa anachokifanya kama kweli anajuwa sharia basi anafanya ujuma inayoweza kuzaa uhaini ambapo penalt yake ni mbaya sana.
Mimi nasema hana hata misuli yakimapinduzi bora akae kimya nakunywa urojo maana anayotafuta yatakuwa mabaya sana na wenye hekima watamkumbusha tulikwambia chunga domo hilo....... hili ni taifa na rais kasha apishwa. tulia