Maalim Seif apunguziwa ulinzi

mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,307
6,514
Gazeti la Raia Tanzania lina habari hiyo kwa undani.......nikiipata kwa undani ntaidondosha humu
raia mwema.jpg
 
Sioni mwisho mwema wa siasa za visiwani...wanaocheka leo ndo wataoliia kesho ilhali wanaolia leo watacheka kesho.....iwe duniani ama mbinguni
 
Analindwa kwa mda mfupi ama walinzi walikuwa wengi ila wamepunguzwa!?
 
Kwa sasa Maalim Seif ni Katibu mkuu wa chama cha upinzani kisicho na mwakilishi na diwani hata mmoja serikalini. Ulinzi anaopewa na serikali baada ya Shein kuapishwa ni ule wa waziri kiongozi mstaafu. Hata Balozi Seif A. Iddi hana tena ulinzi kama makamu wa pili wa rais wanasubiri uteuzi na si lazima ateuliwe. Umeona walivyopiga chini spika wa baraza la wawakilishi Pandu Kificho?
 
Kiongozi wa watu hahitaji utitiri wa ulinzi kwani watu wenye mapenzi mema kwake ndio walinzi wake. Madikteta na maonevu ndio utakuta yanalindwa hadi na vifaru.
 
Analindwa kwa mda mfupi ama walinzi walikuwa wengi ila wamepunguzwa!?
Walinzi walikuwa wengi hivyo amepunguziwa. Sababu ya kupunguziwa ni baada ya kukoma uongozi wq makamu wa Kwanza wa Rais. Ni kama Kikwete alipopunguziwa ulinzi baada ya kymkabidhi kijiti Rais Magufuli.
 
Walinzi walikuwa wengi hivyo amepunguziwa. Sababu ya kupunguziwa ni baada ya kukoma uongozi wq makamu wa Kwanza wa Rais. Ni kama Kikwete alipopunguziwa ulinzi baada ya kymkabidhi kijiti Rais Magufuli.
awa vijana wa ufipa awawez kkuelewa wakishatia mbege hawaelewi ni kwann amepunguziwa ulinzi akili zao washakabidhi kwa mfalme
 
Mzee Karume alikuwà na walinzi mpaka siku ya mauti yake.Ulinzi mzuri ni kutenda mema aliyoamrisha Mwenyezimungu.
 
Bangi na viroba ni tatizo kwa taifa,
sasa leo ndio unajua kama ulinzi ulikuwa wa kinafiki kwanini alikuwa haukatai.Ujinga wa kike
 
Back
Top Bottom