Fatma Karume nyani haoni kundule, kaa kimya

Tumaini wewe ni kilaza wala hujui unacho ongea Amani karume alichaguliwa kwenye uchaguzi halali na wa kisheria kwa mujibu wa katiba ya znz Sheni amewekwa na jeshi kwa uchaguzi batili
Kwa hiyo hata wapemba mwaka 2001 aliwaua kihalali kule Pemba.?
 
Fatuma Karume ni mwana democrasia kama baba yake...... Naikubali sana familia ile, serikal ya baba yake ndo ilileta SUK.... Sahii inadalili ya kuondolewa

Ccm wa zenji waliipinga sana hii SUK lkn ikapitishwa cz Aman ni mwana democrasia sasa hivyo ndivyo alivo mfunza na mwanae
Unafiki ni Kitu kibaya sana.
 
Wewe ndiyo mnafikk nambari moja,mbona hatuja kuona hata siku moja ukikemea baadhi ya mawaziri ambao leo hii wanaibeza serikali ya kikwete kuwa ilikuwa ni corrupt wakati wao walikuwa wananufaika na hiyo serikali?
Hii ifungulie Uzi mwingine mkuu hapa tunamnyoosha binti Karume.
 
Fatuma Karume ni binti asiye na fitna za uongo wa kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa, kawapa live nao wajenge hoja na si kumtishia eti ni munufaika wa serikali iliyopo madarakani, kivipi?
 
Siitajiki kujitokeza hadharani silence speak loud amejitokeza kujiaibisha angekuwa hajawahi nufaika na serikali anayo isuta ningemuheshim sana ila kwangu nmuona mnafiki
Kwa hiyo wewe ukigundua sasa hivi kuwa baba yako ni mchawi huwezi kumkemea kwa vile ulipokuwa mdogo ulinifaika na uchawi wake? Mwache aseme anavyoona, halikuwa kosa lake kuzaliwa hiyo familia hivyo kumnyima uhuru wa kusema ukweli.
 
Mbona hakukosoa serikali ya babake iliyouwa wapemba mwaka 2001 ili wawatawale kimabavu?
Mkuu yaani unanishangaza wewe na wenzako mnao mkosoa huyo binti,hivi nyinyi na yeye nani anajua matunda ya ccm?yeye hadi leo anafaidi matunda ya ccm lkn bado pamoja na hayo anaona ccm ina mapungufu,wewe unayeshindia sunga la kuchemsha ndio unakuwa mtetezi mkubwa wa ccm?
 
Nibora ifike mahali Bi Fatma akae kimya maana upo msemo unasema nyani haoni kundule, ikiwa anasema Dk Shein sio rais wa znz basi ajiulize Aman Karume alikuwanani na kwa nini hakuwahi fanya haya anayafanya, nadhani anapaswa kuogopa Mungu maana familia yao ni moja ya familia inafaidi matunda ya ccm. nakuliko kuwa ndumila kuwili na watu kumshanga basi bora kuwa kimya.
Akuna mtu mwenye akili anamuelewa huyu bib labda awe muwazi anatumiwa na akina nani maana akumbuke hawezi kuwa double agent ndani ya taifa ambalo yeye anaishi bora angekuwa akina snowden akaenda uwamishoni nakuanza kuchonga ila kwa sasa anachokifanya kama kweli anajuwa sharia basi anafanya ujuma inayoweza kuzaa uhaini ambapo penalt yake ni mbaya sana.
Mimi nasema hana hata misuli yakimapinduzi bora akae kimya nakunywa urojo maana anayotafuta yatakuwa mabaya sana na wenye hekima watamkumbusha tulikwambia chunga domo hilo....... hili ni taifa na rais kasha apishwa. tulia
Fatma anajua kuandika sana..akishika kalamu mikono inaandika kabla ya akili kufikiri.
 
Mkuu huyo mama amekubali kutumika lakini atakapokuja kutoswa ataki mdomo wazi.
 
Mkuu yaani unanishangaza wewe na wenzako mnao mkosoa huyo binti,hivi nyinyi na yeye nani anajua matunda ya ccm?yeye hadi leo anafaidi matunda ya ccm lkn bado pamoja na hayo anaona ccm ina mapungufu,wewe unayeshindia sunga la kuchemsha ndio unakuwa mtetezi mkubwa wa ccm?
Nielewe hapa ninachopinga ni double standard .

Hutaki kunielewa. Nachoomanisha binti awe mkweli .aseme hata baba yake aliitawala Zanzibar kimabavu. Full stop. Mambo ya uccm hapa hayana nafasi kama anafaidika ni yeye binafsi Mimi sina tatizo.
 
Mimi naona tu ccm hakuna aliye msafi hata kidogo
 
uhuru wa kutoa maoni ndo fatma karume kautumia kama ww ulivyotoa maoni yako kingine ni wapi karume alifanya umafia kama alioufanya jecha & company Leo mpaka mtoto mdogo anajua kilichotokea zanzibar ni umafia wa kiwango cha 5th grade pili karume anaheshina sana mbele ya wanzazbar kupitia yy ndo Leo unaona setikali ya umoja wa kitaifa zanzibar unadhani ccm & company walikubali kirahisi? ??? kama isingekuwa karume kuamua ?
Duuu aisee umesema ya kweli kabisa
 
Nibora ifike mahali Bi Fatma akae kimya maana upo msemo unasema nyani haoni kundule, ikiwa anasema Dk Shein sio rais wa znz basi ajiulize Aman Karume alikuwanani na kwa nini hakuwahi fanya haya anayafanya, nadhani anapaswa kuogopa Mungu maana familia yao ni moja ya familia inafaidi matunda ya ccm. nakuliko kuwa ndumila kuwili na watu kumshanga basi bora kuwa kimya.
Akuna mtu mwenye akili anamuelewa huyu bib labda awe muwazi anatumiwa na akina nani maana akumbuke hawezi kuwa double agent ndani ya taifa ambalo yeye anaishi bora angekuwa akina snowden akaenda uwamishoni nakuanza kuchonga ila kwa sasa anachokifanya kama kweli anajuwa sharia basi anafanya ujuma inayoweza kuzaa uhaini ambapo penalt yake ni mbaya sana.
Mimi nasema hana hata misuli yakimapinduzi bora akae kimya nakunywa urojo maana anayotafuta yatakuwa mabaya sana na wenye hekima watamkumbusha tulikwambia chunga domo hilo....... hili ni taifa na rais kasha apishwa. tulia
Uhuru wa kuongea upo kikatiba wewe unamwambia akae kimya kama nani? Hivi unadhani inawezekana kweli kila mtu aongee unachokipenda wewe?
 
Back
Top Bottom