Fatma Karume nyani haoni kundule, kaa kimya

Amani Abeid Karume amekuwa Rais wa Zanzibar kutoka Novemba 3, 2000 hadi Novemba 8, 2010. Na mauaji ya Pemba yametokea Januari 26 na 27, 2001. Na ndicho kipindi ambacho babake Fatma alikuwa ni Rais wa Zanzibar.
We forgive. Karume and Maalim healed Zanzibar. Utawala siyo unaturudisha kule kule kwenye uhasama.
 
Mbona mie namuelewa anachokisema Bi.Fatma, wala sifahamu statement ya kundule au umekusudia "nyani haoni kundu la babae ?"

Nadhani ifike mahali tuheshimu uhuru wa watu wa kujieleza na kutoa maoni.Isiwe UAMSHO wakisema wanaswekwa ndani, mara Fatma awekwe ndani mara Salma atekwe nyara....hapo nadhani wengine tunakuwa hatufahamu CCM wanaogopa nini kujibu hoja.
 
Nibora ifike mahali Bi Fatma akae kimya maana upo msemo unasema nyani haoni kundule, ikiwa anasema Dk Shein sio rais wa znz basi ajiulize Aman Karume alikuwanani na kwa nini hakuwahi fanya haya anayafanya, nadhani anapaswa kuogopa Mungu maana familia yao ni moja ya familia inafaidi matunda ya ccm. nakuliko kuwa ndumila kuwili na watu kumshanga basi bora kuwa kimya.
Akuna mtu mwenye akili anamuelewa huyu bib labda awe muwazi anatumiwa na akina nani maana akumbuke hawezi kuwa double agent ndani ya taifa ambalo yeye anaishi bora angekuwa akina snowden akaenda uwamishoni nakuanza kuchonga ila kwa sasa anachokifanya kama kweli anajuwa sharia basi anafanya ujuma inayoweza kuzaa uhaini ambapo penalt yake ni mbaya sana.
Mimi nasema hana hata misuli yakimapinduzi bora akae kimya nakunywa urojo maana anayotafuta yatakuwa mabaya sana na wenye hekima watamkumbusha tulikwambia chunga domo hilo....... hili ni taifa na rais kasha apishwa. tulia

Ukweli unauma ee?
 
Wafahamishe hawa vifuu tundu
 
Wahusika wenyewe wamekaa kimya wewe unafyatuka kama majini, nini kinakuchoma?wacha kujipendekeza wewe
 
mbona kama vile na wewe umetumwa kuja kumtishia huku???
Ametumwa wapi wakati njaa ndio I amsumbua tu,wakati wa marudio ya uchaguzi wao walisema mambo ya zenji tuwaachie wao leo hii washapata walichokipata wameanza kuingilia mambo ya hao hao wazanzibar
 
Siitajiki kujitokeza hadharani silence speak loud amejitokeza kujiaibisha angekuwa hajawahi nufaika na serikali anayo isuta ningemuheshim sana ila kwangu nmuona mnafiki
Wewe ndiyo mnafikk nambari moja,mbona hatuja kuona hata siku moja ukikemea baadhi ya mawaziri ambao leo hii wanaibeza serikali ya kikwete kuwa ilikuwa ni corrupt wakati wao walikuwa wananufaika na hiyo serikali?
 
"The world suffers a lot,not because of the violence of bad people ,but because of the silence of good people"

Napoléon Bonaparte

Hongera kwa Fatma ,tungepata japo watu kumi wenye maono kama yake na wanaosimamia ukweli tungeliokoa taifa badala ya kuliangamiza
Kweli mkuu huyo bi Fatuma kaamua kutumia uhuru wake ili kujiweka huru,lkn kuna watu hawana aibu wanajitokeza bila aibu kumbeza!!!
 
Nibora ifike mahali Bi Fatma akae kimya maana upo msemo unasema nyani haoni kundule, ikiwa anasema Dk Shein sio rais wa znz basi ajiulize Aman Karume alikuwanani na kwa nini hakuwahi fanya haya anayafanya, nadhani anapaswa kuogopa Mungu maana familia yao ni moja ya familia inafaidi matunda ya ccm. nakuliko kuwa ndumila kuwili na watu kumshanga basi bora kuwa kimya.
Akuna mtu mwenye akili anamuelewa huyu bib labda awe muwazi anatumiwa na akina nani maana akumbuke hawezi kuwa double agent ndani ya taifa ambalo yeye anaishi bora angekuwa akina snowden akaenda uwamishoni nakuanza kuchonga ila kwa sasa anachokifanya kama kweli anajuwa sharia basi anafanya ujuma inayoweza kuzaa uhaini ambapo penalt yake ni mbaya sana.
Mimi nasema hana hata misuli yakimapinduzi bora akae kimya nakunywa urojo maana anayotafuta yatakuwa mabaya sana na wenye hekima watamkumbusha tulikwambia chunga domo hilo....... hili ni taifa na rais kasha apishwa. tulia
******
Ni heri kuzungumza kile unachokiamini kuliko kuwa mnafiki bibie as a professional lawyer anatoa dukuduku lake la moyoni as personal,you have an eyes why can't you see?
-->>ubabe ndilo tatizo kuu la viongozi wa BARA LA GIZA.
NA NDICHO CHANZO KIKUU CHA VISASI CHUKI MIGOGORO.
 
uhuru wa kutoa maoni ndo fatma karume kautumia kama ww ulivyotoa maoni yako kingine ni wapi karume alifanya umafia kama alioufanya jecha & company Leo mpaka mtoto mdogo anajua kilichotokea zanzibar ni umafia wa kiwango cha 5th grade pili karume anaheshina sana mbele ya wanzazbar kupitia yy ndo Leo unaona setikali ya umoja wa kitaifa zanzibar unadhani ccm & company walikubali kirahisi? ??? kama isingekuwa karume kuamua ?
 
ungekua makini ungekosoa hoja yake..
unakosoa mambo ya ndugu jamaa na marafiki..
rudi RTD ukatume salamu huko ndiko kunahitaji elimu kama ya kwako
 
Nibora ifike mahali Bi Fatma akae kimya maana upo msemo unasema nyani haoni kundule, ikiwa anasema Dk Shein sio rais wa znz basi ajiulize Aman Karume alikuwanani na kwa nini hakuwahi fanya haya anayafanya, nadhani anapaswa kuogopa Mungu maana familia yao ni moja ya familia inafaidi matunda ya ccm. nakuliko kuwa ndumila kuwili na watu kumshanga basi bora kuwa kimya.
Akuna mtu mwenye akili anamuelewa huyu bib labda awe muwazi anatumiwa na akina nani maana akumbuke hawezi kuwa double agent ndani ya taifa ambalo yeye anaishi bora angekuwa akina snowden akaenda uwamishoni nakuanza kuchonga ila kwa sasa anachokifanya kama kweli anajuwa sharia basi anafanya ujuma inayoweza kuzaa uhaini ambapo penalt yake ni mbaya sana.
Mimi nasema hana hata misuli yakimapinduzi bora akae kimya nakunywa urojo maana anayotafuta yatakuwa mabaya sana na wenye hekima watamkumbusha tulikwambia chunga domo hilo....... hili ni taifa na rais kasha apishwa. tulia
Unampangia awe na mawazo kama yako?
 
Siitajiki kujitokeza hadharani silence speak loud amejitokeza kujiaibisha angekuwa hajawahi nufaika na serikali anayo isuta ningemuheshim sana ila kwangu nmuona mnafiki
kwani yy alishawai kushika madaraka serikalini ? baba yake sio yy
 
Back
Top Bottom