Fatma Karume nyani haoni kundule, kaa kimya

Nibora ifike mahali Bi Fatma akae kimya maana upo msemo unasema nyani haoni kundule, ikiwa anasema Dk Shein sio rais wa znz basi ajiulize Aman Karume alikuwanani na kwa nini hakuwahi fanya haya anayafanya, nadhani anapaswa kuogopa Mungu maana familia yao ni moja ya familia inafaidi matunda ya ccm. nakuliko kuwa ndumila kuwili na watu kumshanga basi bora kuwa kimya.
Akuna mtu mwenye akili anamuelewa huyu bib labda awe muwazi anatumiwa na akina nani maana akumbuke hawezi kuwa double agent ndani ya taifa ambalo yeye anaishi bora angekuwa akina snowden akaenda uwamishoni nakuanza kuchonga ila kwa sasa anachokifanya kama kweli anajuwa sharia basi anafanya ujuma inayoweza kuzaa uhaini ambapo penalt yake ni mbaya sana.
Mimi nasema hana hata misuli yakimapinduzi bora akae kimya nakunywa urojo maana anayotafuta yatakuwa mabaya sana na wenye hekima watamkumbusha tulikwambia chunga domo hilo....... hili ni taifa na rais kasha apishwa. tulia

Hizi za kauli za

.....wewe unavaa vizuri kwa sababu ya eti CCM

....familia yake inakula vizuri sijui kwa sababu eti ya CCM

...mara amani hii eti ni kwa sababu ya CCM

...na kuna mwanaCCM mmoja eti huwa ananiniambia wewe kama siyo CCM hata hiyo kazi unayofanya wala usingekuwa nayo!!

Ebo, kauli za kijinga sana zinazoweza kutolewa na watu wasiojitambua na kujielewa tu

Na mimi huwa nawaambia hivi, wala CCM haikuwahi kunipa kazi mimi bali ni kwa sababu nilizaliwa na kazi ipo tu!

Na pia huwa nawaambia hivi, hata kama CCM itapotea leo kamwe haiwezi kuondoka na maisha yangu, kazi yangu na mavazi yangu wala chakula changu.....itajifia kivyake huko!!

Naona na wewe umeingia kwenye ujinga huu huu wa eti Bi Fatuma Karume anasema hayo wakati CCM ndiyo ime........./inawa......

Ujinga mtupu. Kwani nikienda kuishi Kenya kuna CCM huko? Marekani kuna CCM huko? Au Rwanda kuna CCM huko??

Please stop this nonsense!!!!!
 
Tumaini wewe ni kilaza wala hujui unacho ongea Amani karume alichaguliwa kwenye uchaguzi halali na wa kisheria kwa mujibu wa katiba ya znz Sheni amewekwa na jeshi kwa uchaguzi batili
 
Nibora ifike mahali Bi Fatma akae kimya maana upo msemo unasema nyani haoni kundule, ikiwa anasema Dk Shein sio rais wa znz basi ajiulize Aman Karume alikuwanani na kwa nini hakuwahi fanya haya anayafanya, nadhani anapaswa kuogopa Mungu maana familia yao ni moja ya familia inafaidi matunda ya ccm. nakuliko kuwa ndumila kuwili na watu kumshanga basi bora kuwa kimya.
Akuna mtu mwenye akili anamuelewa huyu bib labda awe muwazi anatumiwa na akina nani maana akumbuke hawezi kuwa double agent ndani ya taifa ambalo yeye anaishi bora angekuwa akina snowden akaenda uwamishoni nakuanza kuchonga ila kwa sasa anachokifanya kama kweli anajuwa sharia basi anafanya ujuma inayoweza kuzaa uhaini ambapo penalt yake ni mbaya sana.
Mimi nasema hana hata misuli yakimapinduzi bora akae kimya nakunywa urojo maana anayotafuta yatakuwa mabaya sana na wenye hekima watamkumbusha tulikwambia chunga domo hilo....... hili ni taifa na rais kasha apishwa. tulia
Wewe mwenye msuli wa kimapinduz ndo unaongelea jamii forums?what a shame dude
 
Tumaini wewe ni kilaza wala hujui unacho ongea Amani karume alichaguliwa kwenye uchaguzi halali na wa kisheria kwa mujibu wa katiba ya znz Sheni amewekwa na jeshi kwa uchaguzi batili
Hivi unakumbuka chanzo cha Mauaji ya January 26 na 27, 2001?
 
Wewe ni nani kumnyamazisha mtu asitoe maoni yake. Lakini pia alichosema ni sahihi Shein si Rais wa wananchi ni wa jeshi, ndilo limetumia maguvu kumweka, au unataka civil revolt ndio uamini. Watanzania wakiwa watulivu na kutafuta mwafaka kwa amani bila umwagaji damu mnatufanya majuha, sijui mnataka tu muone tunakuwa kama Burundi ndio muamini huwa tunachukia na hatuna tofauti nao tukiamua!
Wanasema historia hujirudia , mtu wa kwanza kupoka Demokrasia ni babu yake , aliyepindua utawala ulioingia madarakani kwa kura . Mapinduzi daima hajui maana yake ?
 
Siitajiki kujitokeza hadharani silence speak loud amejitokeza kujiaibisha angekuwa hajawahi nufaika na serikali anayo isuta ningemuheshim sana ila kwangu nmuona mnafiki
Hivi kwakua tu alinufaika ndo hoja hiyo ya kwamba akae kimya?.kwa umri wake kipindi cha babu yake angeweza kuongea nini?,
 
Kipindi cha baba yake mpaka watu waliuliwa mbona hakufungua mdomo na kipindi kile kama uchaguzi ulikuwa wa haki kwanini watu walikufa
 
Wewe Tumaini Edward Lowassa ninavyokuona huwezi kufikia hata robo ya busara za Fatma Karume.
Kwa hiyo ulitaka kwa vile anafaidi matunda ya CCM akae kimya aukumbatie ujinga.

Kwa taarifa yako, kama ni ubora huyu mama atakuja awe bora katika Zanzibar kuliko viongozi wote waliopata kuiongoza Zanzibar. Tusubirini muda utatuambia.
 
Kipindi cha baba yake mpaka watu waliuliwa mbona hakufungua mdomo na kipindi kile kama uchaguzi ulikuwa wa haki kwanini watu walikufa
Alikuwepo na alikuwa mtu mzima hivyo alishuhudia wale watu wakifa lakini hakusema chochote sasa hivi anachonga kama katiwa ndimu. Wakati mwingine tusishabikie vitu kwa kujifurahisha tuangalie dhamira ya dhati ya muhusika. Nikichunguza kauli zake napata shida sana kumuelewa kwa kuwa anaonekana kama ana matatizo ya kisaikolojia.
 
Kipindi cha baba yake mpaka watu waliuliwa mbona hakufungua mdomo na kipindi kile kama uchaguzi ulikuwa wa haki kwanini watu walikufa

Kipind gan, mwaka gan ktk uongoz wa Baba yake watu wameuwawa...????, au huijui Zanzbar
 
Fatuma Karume ni mwana democrasia kama baba yake...... Naikubali sana familia ile, serikal ya baba yake ndo ilileta SUK.... Sahii inadalili ya kuondolewa

Ccm wa zenji waliipinga sana hii SUK lkn ikapitishwa cz Aman ni mwana democrasia sasa hivyo ndivyo alivo mfunza na mwanae
 
Kipindi cha baba yake mpaka watu waliuliwa mbona hakufungua mdomo na kipindi kile kama uchaguzi ulikuwa wa haki kwanini watu walikufa

Kipind cha baba yake hakuna watu waliokufa kisa siasa, na hicho kipind ndo kipind ambacho ccm na Cuf wameishi na kushirikiana bila tatizo lolote hivyo Aman asibezwe kisiasa hapa...
 
Kipind gan, mwaka gan ktk uongoz wa Baba yake watu wameuwawa...????, au huijui Zanzbar
Amani Abeid Karume amekuwa Rais wa Zanzibar kutoka Novemba 3, 2000 hadi Novemba 8, 2010. Na mauaji ya Pemba yametokea Januari 26 na 27, 2001. Na ndicho kipindi ambacho babake Fatma alikuwa ni Rais wa Zanzibar.
 
Wewe ni nani kumnyamazisha mtu asitoe maoni yake. Lakini pia alichosema ni sahihi Shein si Rais wa wananchi ni wa jeshi, ndilo limetumia maguvu kumweka, au unataka civil revolt ndio uamini. Watanzania wakiwa watulivu na kutafuta mwafaka kwa amani bila umwagaji damu mnatufanya majuha, sijui mnataka tu muone tunakuwa kama Burundi ndio muamini huwa tunachukia na hatuna tofauti nao tukiamua!
AMUA TUONE NA UJUHA WAKO TULISHAWAAMBIA HAMADI HATAKUWA RAIS MPAKA ANAPUMZIKA KWA AMANI HATA KAMA ATATUMIA NGUVU HAUPATI NG'OOO KAMA MNABISHA LIANZISHENI NA HAMADI WENU MUONE MUZIKI WAKE.
 
CHURA MKUBWA WEWE UNAKOROMA TU NGOOO, NGOOO!!!
 
Back
Top Bottom