Fatma Karume nyani haoni kundule, kaa kimya

Nibora ifike mahali Bi Fatma akae kimya maana upo msemo unasema nyani haoni kundule, ikiwa anasema Dk Shein sio rais wa znz basi ajiulize Aman Karume alikuwanani na kwa nini hakuwahi fanya haya anayafanya, nadhani anapaswa kuogopa Mungu maana familia yao ni moja ya familia inafaidi matunda ya ccm. nakuliko kuwa ndumila kuwili na watu kumshanga basi bora kuwa kimya.

Akuna mtu mwenye akili anamuelewa huyu bib labda awe muwazi anatumiwa na akina nani maana akumbuke hawezi kuwa double agent ndani ya taifa ambalo yeye anaishi bora angekuwa akina snowden akaenda uwamishoni nakuanza kuchonga ila kwa sasa anachokifanya kama kweli anajuwa sharia basi anafanya ujuma inayoweza kuzaa uhaini ambapo penalt yake ni mbaya sana.

Mimi nasema hana hata misuli yakimapinduzi bora akae kimya nakunywa urojo maana anayotafuta yatakuwa mabaya sana na wenye hekima watamkumbusha tulikwambia chunga domo hilo....... hili ni taifa na rais kasha apishwa. tulia
Unadhani bila watu kama hawa ambao wanakemea injustice openly, Afrika ingekuwa huru? Ubaguzi wa rangi ungetoweka? Sisi tunajificha kwenye fake id zetu. Mbona Magufuli anatumbua majipu na wengi tunajua ni kitu cha hatari lakini tunamwambia endelea?

Na ni kweli Rais aliye madarakani ni Rais halali hata bila kujalisha ameingiaje.

Haya mambo hata hivyo ni ya kwenu wazanzibari. Nyinyi ni waarabu wapemba.
 
Aseme ukweli wa nafsi yake na asiwe mnafki. Babaake alikuwa Rais pale pale na watu walikimbilia Kenya. Mbona hakusema? Hakuona?
 
Nibora ifike mahali Bi Fatma akae kimya maana upo msemo unasema nyani haoni kundule, ikiwa anasema Dk Shein sio rais wa znz basi ajiulize Aman Karume alikuwanani na kwa nini hakuwahi fanya haya anayafanya, nadhani anapaswa kuogopa Mungu maana familia yao ni moja ya familia inafaidi matunda ya ccm. nakuliko kuwa ndumila kuwili na watu kumshanga basi bora kuwa kimya.

Akuna mtu mwenye akili anamuelewa huyu bib labda awe muwazi anatumiwa na akina nani maana akumbuke hawezi kuwa double agent ndani ya taifa ambalo yeye anaishi bora angekuwa akina snowden akaenda uwamishoni nakuanza kuchonga ila kwa sasa anachokifanya kama kweli anajuwa sharia basi anafanya ujuma inayoweza kuzaa uhaini ambapo penalt yake ni mbaya sana.

Mimi nasema hana hata misuli yakimapinduzi bora akae kimya nakunywa urojo maana anayotafuta yatakuwa mabaya sana na wenye hekima watamkumbusha tulikwambia chunga mdomo wako. Hili ni taifa na rais kasha apishwa, tulia

Umamtaka Fatma akae kimya ili wewe uwe huru kuropoka na kutoa povu! Mwache akiseme anachohitaji kukisema ni haki yake ya msingi hata kama wewe na waliokununua umtishe Fatma hamkipendi! Ebho.
 
Fatuma Karume ni mwana democrasia kama baba yake...... Naikubali sana familia ile, serikal ya baba yake ndo ilileta SUK.... Sahii inadalili ya kuondolewa

Ccm wa zenji waliipinga sana hii SUK lkn ikapitishwa cz Aman ni mwana democrasia sasa hivyo ndivyo alivo mfunza na mwanae
Katika ukoo huo babake Fatma, mzee Amani Karume ndiye mwenye busara pekee aliye hai, kuna moja eti balozi Ali Karume kishadumaa akili anazungushwa tu kwenye balozi kama mpira asife njaa lakini ni nanga kuliko nanga. Eti naye aliwahi kugombea urais wa JMT, atutawale watanganyika Jamani Ali Karume?
 
T nakushauri ukanywe uji kwanza,unapoa.Inaonekana hujawa na upeo wa kujitambua na hujui umeletwa hapa duniani kufanya nini,na kama ndio hivyo,ni bora ukanyamaza kuliko kuja na maoni ya Kitoto
 
Kundule Kwa kiswahili cha bila kupindisha maana yake ni nini?
 
Nibora ifike mahali Bi Fatma akae kimya maana upo msemo unasema nyani haoni kundule, ikiwa anasema Dk Shein sio rais wa znz basi ajiulize Aman Karume alikuwanani na kwa nini hakuwahi fanya haya anayafanya, nadhani anapaswa kuogopa Mungu maana familia yao ni moja ya familia inafaidi matunda ya ccm. nakuliko kuwa ndumila kuwili na watu kumshanga basi bora kuwa kimya.

Akuna mtu mwenye akili anamuelewa huyu bib labda awe muwazi anatumiwa na akina nani maana akumbuke hawezi kuwa double agent ndani ya taifa ambalo yeye anaishi bora angekuwa akina snowden akaenda uwamishoni nakuanza kuchonga ila kwa sasa anachokifanya kama kweli anajuwa sharia basi anafanya ujuma inayoweza kuzaa uhaini ambapo penalt yake ni mbaya sana.

Mimi nasema hana hata misuli yakimapinduzi bora akae kimya nakunywa urojo maana anayotafuta yatakuwa mabaya sana na wenye hekima watamkumbusha tulikwambia chunga mdomo wako. Hili ni taifa na rais kasha apishwa, tulia
Very poor argument.

Hakuna hata sehemu moja mleta uzi alipojibu hoja za wakili Fatma. Huyu naye kuna siku utamsikia anasema amesoma.

Tuna kizazi kilichodumaa kifikra ambacho hakiwezi kufikiri, kutafakari, kujenga na kujadili hoja. Hoja ya muhimu ilikuwa ni je Dr. Shein ni Rais halali au la. Ndiyo hoja ya msingi, siyo huu ujinga uliowekwa hapa. Hapa mleta uzi anataka tujadili nini? Tujadili kama Fatma alifaidika na matunda ya nchi hii? Hata Mbowe, Lowasa, Zito, na mimi pia, tumefaidi matunda ya Taifa letu. Ni haki yetu na siyo hisani au rushwa.
 
Nibora ifike mahali Bi Fatma akae kimya maana upo msemo unasema nyani haoni kundule, ikiwa anasema Dk Shein sio rais wa znz basi ajiulize Aman Karume alikuwanani na kwa nini hakuwahi fanya haya anayafanya, nadhani anapaswa kuogopa Mungu maana familia yao ni moja ya familia inafaidi matunda ya ccm. nakuliko kuwa ndumila kuwili na watu kumshanga basi bora kuwa kimya.

Akuna mtu mwenye akili anamuelewa huyu bib labda awe muwazi anatumiwa na akina nani maana akumbuke hawezi kuwa double agent ndani ya taifa ambalo yeye anaishi bora angekuwa akina snowden akaenda uwamishoni nakuanza kuchonga ila kwa sasa anachokifanya kama kweli anajuwa sharia basi anafanya ujuma inayoweza kuzaa uhaini ambapo penalt yake ni mbaya sana.

Mimi nasema hana hata misuli yakimapinduzi bora akae kimya nakunywa urojo maana anayotafuta yatakuwa mabaya sana na wenye hekima watamkumbusha tulikwambia chunga mdomo wako. Hili ni taifa na rais kasha apishwa, tulia
yaani kuna watu hapa wanaandika upumbavu tu. Kwa hiyo asikemee au asiseme kile kibaya anachokiona? wewe mtoa mada ni mbinafsi na ni mjinga kabisa, yaani una unaleta ushabiki wa kisiasa kama wa mpira vile, hata ukifungwa magoli basi utajitetea tu kuwa ulicheza mpira mzuri. sasa kwa kuwa Bi fatma ni ccm basi aikemee mabaya au maovu ya ccm? Je kwa wewe unavyodhani hivyo unavyotaka wewe au unavyofikiria wewe ndiyo tutaweza kuendelea mbele? acha utoto, na ni bora wewe ndiyo unyamaze.
 
SHEIN KUNA MUNGU ANAEMUOGOPA? WACHA KUZIBA WATU MIDOMO KWA KISINGIZIO CHA MUNGU WAKATI WAKATI NYIE MNABAKA DEMOKRASIA,
 
Kwa hiyo ulitaka asitoe maoni yake kwa kuwa amenufaika na mfumo dhalimu wa CCM?
 
Jibuni hoja zake, anayo sema ni kweli.
Wakati wa baba yake ni mengine na wakati mwengine na mazingira tofauti...na ni baba yake ndie alijua ubovu huo unaoutetea akabadilisha katiba ili watu waongozwe na wanaye mpenda .
Hoja yake bado ni mawazo ya wazanzibari wengi.kuapishwa sio hoja bado ukweli hakuchagulika na wewe unafahamu hilo....amewekwa sasa kwa myu mwenye akili yake hawezi kunyamaza ...wewe kula rojo lakini ukweli utasemwa ....sio chaguo lao
 
Hizi za kauli za

.....wewe unavaa vizuri kwa sababu ya eti CCM

....familia yake inakula vizuri sijui kwa sababu eti ya CCM

...mara amani hii eti ni kwa sababu ya CCM

...na kuna mwanaCCM mmoja eti huwa ananiniambia wewe kama siyo CCM hata hiyo kazi unayofanya wala usingekuwa nayo!!

Ebo, kauli za kijinga sana zinazoweza kutolewa na watu wasiojitambua na kujielewa tu

Na mimi huwa nawaambia hivi, wala CCM haikuwahi kunipa kazi mimi bali ni kwa sababu nilizaliwa na kazi ipo tu!

Na pia huwa nawaambia hivi, hata kama CCM itapotea leo kamwe haiwezi kuondoka na maisha yangu, kazi yangu na mavazi yangu wala chakula changu.....itajifia kivyake huko!!

Naona na wewe umeingia kwenye ujinga huu huu wa eti Bi Fatuma Karume anasema hayo wakati CCM ndiyo ime........./inawa......

Ujinga mtupu. Kwani nikienda kuishi Kenya kuna CCM huko? Marekani kuna CCM huko? Au Rwanda kuna CCM huko??

Please stop this nonsense!!!!!
Nimepoteza mda Wang kusoma thread yako kkumbe huna hoja ya kujadiliwa na. gt
 
Kuzaliwa kwenye familia ya Rais kumesaidia kupata elimu bora inayonfanya aangalie mambo kutoka pande zote badala ya kuficha kichwa kwenye mchanga na kuhisi huonekani na wewe huoni kinachoendelea.
 
huyu dada aache kutuzuga mbona hasemi ni kwa nini babake kahudhuria sherehe za kumuapisha shein?
 
Nibora ifike mahali Bi Fatma akae kimya maana upo msemo unasema nyani haoni kundule, ikiwa anasema Dk Shein sio rais wa znz basi ajiulize Aman Karume alikuwanani na kwa nini hakuwahi fanya haya anayafanya, nadhani anapaswa kuogopa Mungu maana familia yao ni moja ya familia inafaidi matunda ya ccm. nakuliko kuwa ndumila kuwili na watu kumshanga basi bora kuwa kimya.

Akuna mtu mwenye akili anamuelewa huyu bib labda awe muwazi anatumiwa na akina nani maana akumbuke hawezi kuwa double agent ndani ya taifa ambalo yeye anaishi bora angekuwa akina snowden akaenda uwamishoni nakuanza kuchonga ila kwa sasa anachokifanya kama kweli anajuwa sharia basi anafanya ujuma inayoweza kuzaa uhaini ambapo penalt yake ni mbaya sana.

Mimi nasema hana hata misuli yakimapinduzi bora akae kimya nakunywa urojo maana anayotafuta yatakuwa mabaya sana na wenye hekima watamkumbusha tulikwambia chunga mdomo wako. Hili ni taifa na rais kasha apishwa, tulia
 
Acha unafiki wewe kuwa muwazi wakati utafika nawe utaiona dhambi na utaisema hadharani
 
Back
Top Bottom