Fatma Karume nyani haoni kundule, kaa kimya

Lizaboni ulinzi ni kitu gani kama mengine unayostahili unanyimwa??!!. Binaadam sisi ni wakupita walilindwa kina Nyerere, Sadam,Gadafi, Mandela etc lakini muda ulipofika ulinzi ulikosa thamani

Maalimu anachohitaji Haki, Utu, Heshima na stahili zake

Sasa mnamhukumu nini na anaongea mapungufu ya serikali ya mapinduzi daima?! Wenye nia njema wsiotaka kujipendekeza kwa watawala wangeongezea kuijadili mstakbali wa nchi ili huko mbeleni tusiingie kwenye mgogoro mwingine wa UCHAGUZI
huwez zungumzia mapungufu ya serikali ya mapinduz bila kuhusisha historia ya mapinduz mpk uwe mnafiki km bi fatma ndo unaweza kufanya ivo historia ndo chanzo cha matatizo yote mpk leo lkn kwa kuwa na fatma ni mnufaika wa historia ndo maana awez kuzungumzia amenasa kwa shein tu kwa sabab zake mwenyew kwa ss weny akili tunaelewa anachokitafuta
 
Akili za mchwa
Nibora ifike mahali Bi Fatma akae kimya maana upo msemo unasema nyani haoni kundule, ikiwa anasema Dk Shein sio rais wa znz basi ajiulize Aman Karume alikuwanani na kwa nini hakuwahi fanya haya anayafanya, nadhani anapaswa kuogopa Mungu maana familia yao ni moja ya familia inafaidi matunda ya ccm. nakuliko kuwa ndumila kuwili na watu kumshanga basi bora kuwa kimya.

Akuna mtu mwenye akili anamuelewa huyu bib labda awe muwazi anatumiwa na akina nani maana akumbuke hawezi kuwa double agent ndani ya taifa ambalo yeye anaishi bora angekuwa akina snowden akaenda uwamishoni nakuanza kuchonga ila kwa sasa anachokifanya kama kweli anajuwa sharia basi anafanya ujuma inayoweza kuzaa uhaini ambapo penalt yake ni mbaya sana.

Mimi nasema hana hata misuli yakimapinduzi bora akae kimya nakunywa urojo maana anayotafuta yatakuwa mabaya sana na wenye hekima watamkumbusha tulikwambia chunga mdomo wako. Hili ni taifa na rais kasha apishwa, tulia
 
huwez zungumzia mapungufu ya serikali ya mapinduz bila kuhusisha historia ya mapinduz mpk uwe mnafiki km bi fatma ndo unaweza kufanya ivo historia ndo chanzo cha matatizo yote mpk leo lkn kwa kuwa na fatma ni mnufaika wa historia ndo maana awez kuzungumzia amenasa kwa shein tu kwa sabab zake mwenyew kwa ss weny akili tunaelewa anachokitafuta

Kung'ang'ania historia inayopalilia uadui badala msamaha na toba basi Zanzibar daima itaendelea kutawaliwa na kukaliwa na DODOMA

Kumsomesha mtoto usitegemee mtoto huyo kukutii kwa kila kitu hata kwa mabaya, kama haya yaliyofanywa na CCM na Dr Shein kwa kubarikiwa Jecha .
Fatma amesutwa na UZALENDO & USOMI wake
 
Mtoa mada Italian chizi au Kama so chizi Basi kapimwe Kwanzaa akili ndo uje kushare huku kwa magreat thinkers
 
Nibora ifike mahali Bi Fatma akae kimya maana upo msemo unasema nyani haoni kundule, ikiwa anasema Dk Shein sio rais wa znz basi ajiulize Aman Karume alikuwanani na kwa nini hakuwahi fanya haya anayafanya, nadhani anapaswa kuogopa Mungu maana familia yao ni moja ya familia inafaidi matunda ya ccm. nakuliko kuwa ndumila kuwili na watu kumshanga basi bora kuwa kimya.

Akuna mtu mwenye akili anamuelewa huyu bib labda awe muwazi anatumiwa na akina nani kwa maana akumbuke kuwa hawezi kuwa double agent ndani ya taifa ambalo yeye anaishi bora angekuwa akina snowden akaenda uwamishoni nakuanza kuchonga ila kwa sasa anachokifanya kama kweli anajuwa sharia basi anafanya ujuma inayoweza kuzaa uhaini ambapo penalt yake ni mbaya sana. Pia ukumbuke muda huo majuto huwa ni mjukuu au kitukuu.

Kama ni mzazi unaweza kufikiri labda maisha yamemvuruga au kuna jambo anapitia ktk maisha limemchanganya. Lakini sii kweli Bi Fatma anajuwa kile anakifanya na kwakuwa nimsomi mzuri wa sharia anajuwa kile kinaweza kumpata au kumfika kwa kauli zake zisizo jenga umoja na mshikamano baina ya wa zanzibari wenyewe kwa wenyewe na ata watanzania wote kwa ujumla.

Nini kinamsumbuwa hasa bib huyu? kama wewe ni mgeni wa chama Fulani kilichosusa uchaguzi hivi majuzi basi waweza fikiri Fatma ni mropokaji hajuwi kile anazungumza, tuseme ule ukweli hiki chama kinawekeza kwa kiasi kikubwa ktk propaganda za uongo,chuki na hata unafiki na hoja yao ni moja sii tu kuvunja huu muungano ila chuki na fitina mbaya kati ya wabara na wazanzibari, waunguja na wapemba kwa wale tunao penda kusikiliza hotuba za mwalim utajuwa kwa nini alisema nje ya muungano hakuna Zanzibar bali kunawao wapemba sisi waunguja. Kile anakifanya uwenda kwa kurubuni watu eti anakosoa serikali kwa kutumia kifung 18 cha katiba sii kweli huu ni mtaji mkubwa kwa chama Fulani kuleta matokeo chanya ya znz kutotawalika na kwakuwa yupo mtu kama Fatma lazima wamtumie vizuri hata kama gharama itakuwa kubwa kiasi gani wao wapo tayari.

Haya sio mambo yakufunga macho ila nimambo yanahitaji akili ya hali ya juu kujuwa nini kinamsibu mtu kutoka familia ya muwasisi wa taifa kuropoka maneno kama yale ameropoka. Ninani kati yetu anaweza kusimama aseme hajuwi kile kinapangwa na kufanywa chini kwa chini ktk kuharibu umoja wa wazanzibari na chuki inayokaribia watu kuuwana inayo sababishwa na chama fulani chini ya mwavuli mtu, watu na nchi Fulani.

Usaliti anaufanya Fatma karume akiwa ndani ya ccm na kadi ya ccm ni sawa nakuchukua silaha nakuinyoosha kwa rais je wategemea nini utafanyiwa na mlinz wa rais, majibu mnayo. Au kujifisha bomu nakujilipua ktk ya umati wa watu. Huu ni usaliti ambao ktk siku za mbeleni Fatma aweza kulipia gharama kubwa kwake yeye na familia yake maana upo msemo unasema achumae janga hulila na wanyumbani kwake. Huwezi ukasimama tena mtoto wa kike unadiriki kumkashifu rais tena ktk mtandao ukahisi upo salama, hiyo haipo duniani hata kama ndio democrasia basi haipo duniani na kama ipo tueleze hilo taifa na kwa sharia gani?.

Nakukumbusha mifano michache ya watu walio wahi ropoka na kwa hivi sasa wanajutia uropokaji wao nikupe mmoja tu John Mnyika.
Mnyika akiwa bungeni na akijuwa sharia ya kinga na madaraka ya mbunge bungeni alimtusi Mh Rais Jakaya Mrisho kuwa yeye ni dhaifu. Hii Hoja ilivuma sana ila muulize huyo mnyika nini alikutana nacho na kwa nini uwenda atalipi hiyo dhambi mpaka mwisho wake.

Labada nikuelimishe kidogo juu ya taasisi Rais maana inawezekan ni mwanasheria ila hili hulijuwi. Hujamdhailisha Dk Shein ila umeidhalilisha taasisi nzima ya Rais ambayo ndani yake kuna hako kaneno ka jeshi, je unajuwa walinzi wasiri wa rais? Huwajuwi? je wawajuwa watu wanalinda hilo dola la watu wa znz hujuwi, je wajuwa nani wanafanya nini kumlinda Rais hujuwi. Acha mara moja hii mambo tena ukiwa ndani ya chama na serikali unayoibeza. Nakushauri uwache nikiwa kama Raia mwema wa taifa hili mwambie aliekutuma akupe kazi nyingine maana hii huiwezi ama akuruhusu umtaje hadharani alie kutuma maana niukweli usio pingika unayo ajenda ya siri kwa kipindi sasa ila unatoa vipande vipande. wasaliti adhabu yao ni mbaya na hakuna mtu amewahi rudi kusimulia ilikuwaje. Unapoteza muda kwa kuchota maji baharini na kujaza kwenye kishimo ukifikiri bahari itahamia kwenye kishimo ulicho chimba, kiukweli unapoteza muda kuwahadaa wa znz na taifa kwa ujumla ila ukasahau nyani haoni kundule.

Labda Mimi nisema huna hata misuli yakimapinduzi bora ukae kimya nakunywa urojo siku ziende, maana anayotafuta yatakuwa mabaya sana na wenye hekima watakukumbusha tulikwambia chunga mdomo wako. Hili ni taifa na rais kesha apishwa huku kila idara inayo mzunguka ipo kazini , ukumbuke msemo wa Rais mstaafu Kikwete wakati mwingine akili zakuambiwa changanya nazakwako...

Hata hizi zakuandikiwa changanya uchukue au uache ni uamuzi wako

CCM mmejichimbia kaburi Zanzibar. safari imeanza na bi Fatma si dereva ni kondakta tu.

mtakuwa na bahati sana mkifika 2020.
 
Tujisahihishe - Ni kweli "Nyani haoni kundule lakini njia mojawapo ya kujua kundulo lina mshikiri ni nyani wengine kukuambia"
 
Hii ni hoja Matusi, Ifuteni, Kama Mnavyofuta zangu! Mimi Hapa Naondoka Kwa Kuwa, Hii sio Forum ya watu Makini Tena, Wajamaa wa CCM wanatukana na Kusema Maneno Machafu, Ya Upuuzi yasio ya Demikrasia, Wanashabikia Ukandamizaji, Wanabeza na Kutukana, Ukiwajibu Kulingana na matusi yao Unafungiwa, Ukitoa hoja inayouliza Maswali ya Msingi ie Iweje Urais wa Shein Unashabikiwa kama wa Halali na Ni uhuni Mtupu Mithili ya Jambazi anayevunja Mlango kwa "Fatuma" Hoja Kizo zitafutwa. Najua mahali ambapo hakuna wa Kufuta, Wataangalia na Kulia wasiwe na la Kufanya, tweeter, Youtube, Facebook, Instagram.
 
Hustahili kumwta fatma Mwana ccm yule

Fatuma Karume Ni Mzalendo aliyetukuka. Hamwoni tu hata Nchi ambazo wametufundisha Demokrasia wanavyoona Kinyaa. Tanzania ni Nchi ya Viongozi Washenzi na Majambazi wasio na Uzaleondo wala Heshima kwa Raia Period, siku Moja watalipa. Kama alivyolipa Qadaffi na akina Samwell Doe!
 
yaani kuna watu hapa wanaandika upumbavu tu. Kwa hiyo asikemee au asiseme kile kibaya anachokiona? wewe mtoa mada ni mbinafsi na ni mjinga kabisa, yaani una unaleta ushabiki wa kisiasa kama wa mpira vile, hata ukifungwa magoli basi utajitetea tu kuwa ulicheza mpira mzuri. sasa kwa kuwa Bi fatma ni ccm basi aikemee mabaya au maovu ya ccm? Je kwa wewe unavyodhani hivyo unavyotaka wewe au unavyofikiria wewe ndiyo tutaweza kuendelea mbele? acha utoto, na ni bora wewe ndiyo unyamaze.
Mkubwa ukishindwa kumwambia ukweli mwanao huna haki yakumsimanga mtoto wa jirani. Fatma hana jipya analolifanya kwa sas sana sana anawavuruga watu wa Zanzibar. angeongea kipindi cha mzee wake the way anaongea sas ningemuelewa ila wamekula nchi miaka yote na mambo mengi mabaya uwenda waliyafanya kipindi mzee wao akiwa rais lakin tiss na vyombo vya usalama viliwasitiri sasa anapo nyanyua domo nakumsimanga mzee wetu Dk Shein kwetu tunamuona kama mnafiki na mtu asie na shukrani, wajifunze kutoka familia ya nyerere. Kama anautaka uhuru na yeye ni mwanamke wa ukweli apige chini ccm aende kafu alafu sasa tuone uwanamke wake wakuikosoa serikali. sio anajificha kwa kadi na nguo za ccm huku anawatoboa wenzake na kuwaumiza ndani ya chama.
 
Hii ni hoja Matusi, Ifuteni, Kama Mnavyofuta zangu! Mimi Hapa Naondoka Kwa Kuwa, Hii sio Forum ya watu Makini Tena, Wajamaa wa CCM wanatukana na Kusema Maneno Machafu, Ya Upuuzi yasio ya Demikrasia, Wanashabikia Ukandamizaji, Wanabeza na Kutukana, Ukiwajibu Kulingana na matusi yao Unafungiwa, Ukitoa hoja inayouliza Maswali ya Msingi ie Iweje Urais wa Shein Unashabikiwa kama wa Halali na Ni uhuni Mtupu Mithili ya Jambazi anayevunja Mlango kwa "Fatuma" Hoja Kizo zitafutwa. Najua mahali ambapo hakuna wa Kufuta, Wataangalia na Kulia wasiwe na la Kufanya, tweeter, Youtube, Facebook, Instagram.
Marandu siku zote mtu anaye shindwa ngumi anamambo mawili kufaya either kukimbia au kung'ata
wewe umechaguwa kukimbia, ewala
 
Sidhan ka wakat ananufaika mambo kama haya yalitokea thats y hukumsikia akiongea enz za mshua wake,,,,,,,baba kuwa mwiz na kunaifaika na wiz wake sio sababu ya kutokemea wiz!!!!
 
Aulizwe kile kiwanja alojenga hotel kakipata kihalali ? Vipi na ile sehemu kanisa alotaka kuzulumu mchana kweupe..aone aibu kwanza kima punju huyu.
 
Tumeini el tumia akili japo kidogo kwanini Dr.shein awamu iliyopita hakuna aliyemkana? Na kwanini awamu hii ndio akanwe? Ukweli unaujua kwani CCM yenu yote Haya ndio imeyaleta haitaki kukubali kushindwa Uchaguzi wa Meya Dar umesumbua sana kiss CCM licha ya kuwa Na madiwani wachache lakini eti wanataka kushinda Umeya CCM AIBU
 
Marandu siku zote mtu anaye shindwa ngumi anamambo mawili kufaya either kukimbia au kung'ata
wewe umechaguwa kukimbia, ewala
Mkuu Mimi Sikuwa na Ugomvi na Mtu, Muda Ni pesa, Na Mimi Ni Mzee wa watu sasa Nataka Nitumie Muda Kufanya au Kusema Vitu Vinavyoleta Matokeo Positive! Hivi Ulishamwona Mkapa, au Magufuli, Au Mbowe, Na wengine wengi wakiwa kwenye malumbano yasio na Mwisho? sasa Mimi Nisipojipima si itakuwa wazimu!
 
Nibora ifike mahali Bi Fatma akae kimya maana upo msemo unasema nyani haoni kundule, ikiwa anasema Dk Shein sio rais wa znz basi ajiulize Aman Karume alikuwanani na kwa nini hakuwahi fanya haya anayafanya, nadhani anapaswa kuogopa Mungu maana familia yao ni moja ya familia inafaidi matunda ya ccm. nakuliko kuwa ndumila kuwili na watu kumshanga basi bora kuwa kimya.

Akuna mtu mwenye akili anamuelewa huyu bib labda awe muwazi anatumiwa na akina nani kwa maana akumbuke kuwa hawezi kuwa double agent ndani ya taifa ambalo yeye anaishi bora angekuwa akina snowden akaenda uwamishoni nakuanza kuchonga ila kwa sasa anachokifanya kama kweli anajuwa sharia basi anafanya ujuma inayoweza kuzaa uhaini ambapo penalt yake ni mbaya sana. Pia ukumbuke muda huo majuto huwa ni mjukuu au kitukuu.

Kama ni mzazi unaweza kufikiri labda maisha yamemvuruga au kuna jambo anapitia ktk maisha limemchanganya. Lakini sii kweli Bi Fatma anajuwa kile anakifanya na kwakuwa nimsomi mzuri wa sharia anajuwa kile kinaweza kumpata au kumfika kwa kauli zake zisizo jenga umoja na mshikamano baina ya wa zanzibari wenyewe kwa wenyewe na ata watanzania wote kwa ujumla.

Nini kinamsumbuwa hasa bib huyu? kama wewe ni mgeni wa chama Fulani kilichosusa uchaguzi hivi majuzi basi waweza fikiri Fatma ni mropokaji hajuwi kile anazungumza, tuseme ule ukweli hiki chama kinawekeza kwa kiasi kikubwa ktk propaganda za uongo,chuki na hata unafiki na hoja yao ni moja sii tu kuvunja huu muungano ila chuki na fitina mbaya kati ya wabara na wazanzibari, waunguja na wapemba kwa wale tunao penda kusikiliza hotuba za mwalim utajuwa kwa nini alisema nje ya muungano hakuna Zanzibar bali kunawao wapemba sisi waunguja. Kile anakifanya uwenda kwa kurubuni watu eti anakosoa serikali kwa kutumia kifung 18 cha katiba sii kweli huu ni mtaji mkubwa kwa chama Fulani kuleta matokeo chanya ya znz kutotawalika na kwakuwa yupo mtu kama Fatma lazima wamtumie vizuri hata kama gharama itakuwa kubwa kiasi gani wao wapo tayari.

Haya sio mambo yakufunga macho ila nimambo yanahitaji akili ya hali ya juu kujuwa nini kinamsibu mtu kutoka familia ya muwasisi wa taifa kuropoka maneno kama yale ameropoka. Ninani kati yetu anaweza kusimama aseme hajuwi kile kinapangwa na kufanywa chini kwa chini ktk kuharibu umoja wa wazanzibari na chuki inayokaribia watu kuuwana inayo sababishwa na chama fulani chini ya mwavuli mtu, watu na nchi Fulani.

Usaliti anaufanya Fatma karume akiwa ndani ya ccm na kadi ya ccm ni sawa nakuchukua silaha nakuinyoosha kwa rais je wategemea nini utafanyiwa na mlinz wa rais, majibu mnayo. Au kujifisha bomu nakujilipua ktk ya umati wa watu. Huu ni usaliti ambao ktk siku za mbeleni Fatma aweza kulipia gharama kubwa kwake yeye na familia yake maana upo msemo unasema achumae janga hulila na wanyumbani kwake. Huwezi ukasimama tena mtoto wa kike unadiriki kumkashifu rais tena ktk mtandao ukahisi upo salama, hiyo haipo duniani hata kama ndio democrasia basi haipo duniani na kama ipo tueleze hilo taifa na kwa sharia gani?.

Nakukumbusha mifano michache ya watu walio wahi ropoka na kwa hivi sasa wanajutia uropokaji wao nikupe mmoja tu John Mnyika.
Mnyika akiwa bungeni na akijuwa sharia ya kinga na madaraka ya mbunge bungeni alimtusi Mh Rais Jakaya Mrisho kuwa yeye ni dhaifu. Hii Hoja ilivuma sana ila muulize huyo mnyika nini alikutana nacho na kwa nini uwenda atalipi hiyo dhambi mpaka mwisho wake.

Labada nikuelimishe kidogo juu ya taasisi Rais maana inawezekan ni mwanasheria ila hili hulijuwi. Hujamdhailisha Dk Shein ila umeidhalilisha taasisi nzima ya Rais ambayo ndani yake kuna hako kaneno ka jeshi, je unajuwa walinzi wasiri wa rais? Huwajuwi? je wawajuwa watu wanalinda hilo dola la watu wa znz hujuwi, je wajuwa nani wanafanya nini kumlinda Rais hujuwi. Acha mara moja hii mambo tena ukiwa ndani ya chama na serikali unayoibeza. Nakushauri uwache nikiwa kama Raia mwema wa taifa hili mwambie aliekutuma akupe kazi nyingine maana hii huiwezi ama akuruhusu umtaje hadharani alie kutuma maana niukweli usio pingika unayo ajenda ya siri kwa kipindi sasa ila unatoa vipande vipande. wasaliti adhabu yao ni mbaya na hakuna mtu amewahi rudi kusimulia ilikuwaje. Unapoteza muda kwa kuchota maji baharini na kujaza kwenye kishimo ukifikiri bahari itahamia kwenye kishimo ulicho chimba, kiukweli unapoteza muda kuwahadaa wa znz na taifa kwa ujumla ila ukasahau nyani haoni kundule.

Labda Mimi nisema huna hata misuli yakimapinduzi bora ukae kimya nakunywa urojo siku ziende, maana anayotafuta yatakuwa mabaya sana na wenye hekima watakukumbusha tulikwambia chunga mdomo wako. Hili ni taifa na rais kesha apishwa huku kila idara inayo mzunguka ipo kazini , ukumbuke msemo wa Rais mstaafu Kikwete wakati mwingine akili zakuambiwa changanya nazakwako...

Hata hizi zakuandikiwa changanya uchukue au uache ni uamuzi wako

Wewe ndio humelewi huyu bibie sababu akili na fikra zako zimejaa uchama wa chama kimoja.... Ungejaribu kufungua akili yako ili iwe flexible nadhani ungemwelewa vinzuri sana hata zaidi ya sana.
 
Back
Top Bottom