Fanyieni usafi nywele zenu za bandia

Fanyieni usafi nywele zenu za bandia

Tena na.wewe nilikusahau!!!!!!

Last time nilipokuambia acha ubahili wa kubania perfume nilikuwa namaanisha kiwigi kinatema mpaka perfume imemezwa!!!!!!!!

Ukaoshage banaaa,mtu m cute na ka smell wapi na wapi!!!

hehehe! Ka unaniona vilee yani baada ya kusoma tu uzi huu imenibidi nikimbie saluni fasta kuosha ka wivng kangu hapa nipo kwa draya nakausha!chezeya joto la jiji acha kabsaaa!!
 
mie hiyo mizigo ya kizungu siiwezi,,, nywele nimekata nimetia zangu wevu nimemaliza!!!! huo usistaduu wa ma brazillian nimewaachia wadada wa mujini.


Umeona eeenh na wakati wa kuoga mnajimwagia mimaji tuuuuuuuu mkimaliza unapiga jelly yako mwendo mdundo,mwepesiii,msafiii,unanukiaaaaaaa wave mpango mzimaaaaaa! !!!!!!!

Kutana na nywele za maiti sasa oooonh nywele zinaloa siku nyingine ooonh oga wewe kwanza pambaaaaaaaafuuuuuuuuuuu kisa minywele!!!!!!
 
Ha ha ha, tena sasa hivi nina wigi kichwani, lakini kunuka nope.

Ticha moja skuli lilikuwa linatupiga mkwara kwa kusema nikikukuta nje wakati wa vipindi nitakutoa demo!!!!!!

Ole wako my dada nije kukuta una ka smell hata ka mbaaaaali...nitaweka heshima kando nikutoe demo!!!!!!
 
Waambie,
wamezidi sana kulundika manywele ya bandia halafu
usafi hawayafanyii;

Hata hao waume wanaolala nao bed moja na bed cover moja
wanaipata.
 
kwa hili nimesalimika kutokana na tatizo langu. Lkn nasubiria disemba, now nipo katika kujipanga kukabiliana nalo. Yani ni mwezi wa tano sasa sisikii harufu hata kidogo
 
bora mie na upara wangu kila siku naupiga baby johhson shampoo.
wenye mawigi endeleeni
vaeni mawigi hadi kwenye mafuzi!
 
^^
Pole sana..sidhani kama watakuelewa
^^

...thx.
Mkuu' inakele sana!
Minywele inanuka utafikiri gari la taka za mizoga!

...Halafu haya manywele ya bandia kama mtumiaji siyo msafi, huwa yananuka kweli kweli.

Siku hizi wanawake wetu wanashindana kubandika manywele ya bandia ili wawe na nywele ndefu zilizodondokea mgongoni mwao...

Mimi kawaida napenda kuona mwanamke akitoka na nywele zake za asili, ziwe ndefu au fupi, au kasuka mitindo ya enzi na enzi.....


very beautifull
 
such a shame jamani. Mpaka unaona aibu hata kama hufanyi. Damn. Tubadilikeni.
 
Wasichana acheni kukaa na nywele miezi kibao bila kuosha. Uchumi ukikushinda si ukate!

...mkuu' tatizo awa dada zetu' hawajijui..! Pia kuna baadhi yao, hawapendi kuambiwa ukweli..., mara nyingi wanapenda kuambiwa maneno yakusifiwa! ...kuwa AMEPENZA (hata kama hajapendeza)

jitambueni... jamani dada zetu...,
 
mhhh bifu?hilooooooo ngoja waje wenyewe mimi nitakua judge

...mkuu, hii ndiyo hali halisi ya nywele nyingi za bandia..., wala siyo bifu..., wengi hawajui kuzitunza!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom