Fanya mambo kama mwanaume ili uwe mume

Fanya mambo kama mwanaume ili uwe mume

Ni pale mwanaume anapokhimiza utoe 50% ya budget yenu ya ndani, hapo si umeshajiweka kuwa unaishi na co-partner? Baada ya hapo unaamka asubuhi unategemea utandikiwe kitanda na boxers zako kule bafuni zifuliwe.

Kama mke mambo yake yake yakienda vibaya si unamuweka kwenye hatari ya kupata kidume cha kumpa ile 50% ambayo unaitegemea?

Kama unataka kuweka heshima ya ndoa ndani jitume kama mwanaume kwanza pesa yetu ni ya chumvi na mchuzi mix.
kwa hili we hutaki ndoa kabisaaaaaa

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Enzi za babu, bibi, baba na mama zetu ningekubaliana nawe kwa hili, ila kwa maisha ya sasa, HAPANA 110%, sababu wafua boxers n.k. isiwe kisingizio cha mke asitoe mchango wake ndani ya nyumba, mbona ni kujipanga tu, kwanza kiasi gani?! Wataka hela zenu zote ziishie Boutique na Saloon? Kwa sasa mwadai usawa, mwataka kila kitu kitu kiwe pasu kwa pasu, sasa huoni usawa uanzie nyumbani kwetu kwanza? Mamie ili mambo yaende kila mtu kwenye boma letu lazima a chip in, kuanzia sisi, watoto wetu kama wakubwa n.k.
Note : Wanaume wengi wanapenda vitu natural, punguzeni vikolombwezo feki kama nywele, eyelashes, makeup, nails n.k. mbona hela itatosha tu ndani ya nyumba..
Hivi unajua hata zamani mama zetu walikuwa ndio "bread winners" kwa kiasi kikubwa? Mashamba ni ya baba, lakini mama ndio mlimaji mkubwa(sisi tuliokulia vijijini tunajua), na shughuli zote za nyumbani ni za mama.

Leo hii hatukatai kuwa wake zetu wana vipato, tena wengine vipato vyao ni vikubwa tu, some women earn more tha $2000 per month.

Ajabu sana, mke anaingiza kipato lakini haoni umuhimu kuchangia kwenye maendeleo ya nyumbani.
 
Huyo Mume anaakili sana maana amechukulia 50% kama mnavyotaka yatokee hata bungeni.

Kama mwanamke ana kipato achangie tu tena atakua hata na nguvu ya kimaamuzi na hiyo ndio ndoa vinginevyo itakua kama ameolewa tu sio wameoana.
 
Sky, kwa nini basi wote tuamke asubuhi, tuwaache watoto wadogo kabisa(imagine after three months mama anamuacha kichanga home anaenda kazini), twende kazini, turudi saa mbili usiku, watoto hawatujui vizuri coz tunatafuta pesa.

Then kipato cha mmoja kiwe "optional" kutumika? Hivi, what's the point you waking up at 0500hrs, coming back home at 2200hrs if you are stingy to your own family and can't share your income?

Nilidhani point ya wote kuamka saa 11 na kurudi saa nne ni kutafuta pesa kwa ajili ya familia. Sasa kama mmoja anaona kipato chake sio cha familia, anaitwaje family member? Na kwa nini aamke saa11, angekaa tu home ingekuwa busara zaidi.
Sisi ni wasaidizi wenu tunachangia vile vitu vidogo mlivyosahau kama mahitaji ya watoto wa kike, chumvi na sabuni lakini mahitaji makuu kama shelter uwe kodi au kujenga ni ya kwenu
 
Fact
 
Sisi ni wasaidizi wenu tunachangia vile vitu vidogo mlivyosahau kama mahitaji ya watoto wa kike, chumvi na sabuni lakini mahitaji makuu kama shelter uwe kodi au kujenga ni ya kwenu
Napenda zaidi mwanamke ndani ya familia achangie kadri ya uwezo wake. Poa mimi nitalipa ada, ujenzi na dharura nyingine kubwa kama matibabu. Lakini mke wangu a guarantee chakula nyumbani, ikiwa pamoja na mahitaji ya wazee wetu popote walipo. Itokeapo hitaji kubwa la pesa kama vile ujenzi au kitu cha maendeleo na yeye achangie kama anao uwezo, sio niumie mimi tu wakati nae uwezo anao. Je atakuwa ana faida gani kwa maendeleo ya familia sasa?
 
wanaume wengi siku izi kwanza wanataka kuoa mwanamke mwenye kazi au anaejishuhulisha ILI wasaidiane kwenye majukumu ya kulea familia,,na wengi wao wanataka hata kwenye ujenzi kusomesha wasaidiwe,,
Mchango wa mwanamke kwenye familia nyingi za kiafrika ni mkubwa sana kuliko hata ule wa baba,,acha tupambane kuwapatia watoto maisha bora,,ukibahatika kupata huyo wa kukupa kila kitu basi hewala!!
 
Ni pale mwanaume anapokhimiza utoe 50% ya budget yenu ya ndani, hapo si umeshajiweka kuwa unaishi na co-partner? Baada ya hapo unaamka asubuhi unategemea utandikiwe kitanda na boxers zako kule bafuni zifuliwe.

Kama mke mambo yake yake yakienda vibaya si unamuweka kwenye hatari ya kupata kidume cha kumpa ile 50% ambayo unaitegemea?

Kama unataka kuweka heshima ya ndoa ndani jitume kama mwanaume kwanza pesa yetu ni ya chumvi na mchuzi mix.
Mtazamo huu aujawahi kuicha ndoa yoyote salama,mwanamke mwenye mtazamo huu lazima ndoa yake ipate tabu kubali kataa
wanadumu wale wanao jua familia ni yangu kama mama na ninamchango kwenye familia yangu na ndio wanao kuja kufaidi matunda kama kina mama diamond potezeni muda mkijadili mapungufu yetu mkazani iko siku watakuja malaika kuwa hudumia!!!!!
FANYA WAJIBU WAKO KAMA MKE NIFANYE WAJIBU WANGU KAMA MUME.
 
Wamama wa siku hizi tumekuwa wachakarikaji mnoo mpaka wababa wanasahau wajibu wao!!!!!!!!!!!
 
😡😡NONSENSE😡😡 kwani kuwa mwanaume ni kwenye kutoa hela tu?? kwani we ukitoa hela shida iko wapi?? ila kama wewe ni wa vidume mbadala hata ukiambiwa uchangie 0% bado utarukaruka tuu

good morning to you.
Huez uukaniita mkeo na ukataka nikupe heshima za mume kama nachangia asilimia 50 ya mahitaji nyumban

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajua hata zamani mama zetu walikuwa ndio "bread winners" kwa kiasi kikubwa? Mashamba ni ya baba, lakini mama ndio mlimaji mkubwa(sisi tuliokulia vijijini tunajua), na shughuli zote za nyumbani ni za mama. Leo hii hatukatai kuwa wake zetu wana vipato, tena wengine vipato vyao ni vikubwa tu, some women earn more tha $2000 per month. Ajabu sana, mke anaingiza kipato lakini haoni umuhimu kuchangia kwenye maendeleo ya nyumbani.
Peer Pressure ya kununua urembo, kumbe wakivaa vizuri na kwa heshima wanatokelezea sana sana tu, hakuna kitu sexy kama mwanamke asiyeupamba mwili kama mdoli, wangejuwa tu..
 
Ni pale mwanaume anapokhimiza utoe 50% ya budget yenu ya ndani, hapo si umeshajiweka kuwa unaishi na co-partner? Baada ya hapo unaamka asubuhi unategemea utandikiwe kitanda na boxers zako kule bafuni zifuliwe.

Kama mke mambo yake yake yakienda vibaya si unamuweka kwenye hatari ya kupata kidume cha kumpa ile 50% ambayo unaitegemea?

Kama unataka kuweka heshima ya ndoa ndani jitume kama mwanaume kwanza pesa yetu ni ya chumvi na mchuzi mix.
Wee mshahara wako unataka umpe nanii? Kazi unafanya ya nini sasa,,,basii kaa nyumbani uhudumiwe,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom