Familia yataka kumuua mtoto wao kisa kubadili dini

Ashafika Canada
Screenshot_20190112-192500_1547310492014.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nyimbo zilikuwa mtoto wa Governor, kuwaonesha majina ya magovernor wote wa Saudi Arabia na uongo wenu kuwa batili sasa kawa msaudia tu wa kawaida!

Mnachekesha kwa ujuha wenu.
Ndio ashahama hiyo dini yako yuko huko Canada kule ulikokuwa unaishi

Halafu sasa umavyojifanyaga maamuma kutwa kucha kutembe nchi za kikafir wakati hamtaki kuishi saudia sababu mnajua fika wale mnaowaita wenzenu katika imani huwaona watumwa kwa hio rangi yenu nyeusi.

Maisha hayaendi bila unafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom