Familia yataka kumuua mtoto wao kisa kubadili dini

View attachment 992399

Binti Raia wa Saudia Rahaf Mohammed Alqunun (18) ambae alikimbilia nchini Thailand akihofia kuuawa na familia yake baada ya kujitoa kwenye dini ya Kiislamu amepatiwa hifadhi na Serikali ya Canada nchini humo.
Pole yake,bora amefika kwa wakristo,atakuwa salama.Hiyo dini nyingine,hakuna kuhoji,ni ama unabaki ndani,au utoke,upoteze maisha,Mungu wao amewapa amri kuua yoyote anayekwenda kinyume na maagizo ya bwana Mtume,na Mungu wake.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo upo uzi wake hapa hapa JF tumeshaweka comments zetu.

Hata sura yake inaonesha huyo ni mhindi na si Msaudi, kacheza game huyo apate ukimbizi na hifadhi.

Cheza na wadosi akili kubwa.

Hiyo game mbona inachezwa sana na wadosi.
Hata awe mchina, kila mtu ana haki ya kuchagua dini anayoipenda.

Wewe sura yako ni ya Kisaudia au sura ya Kikwere???
Hii ni habari mbaya sana kwako ila vumilia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo upo uzi wake hapa hapa JF tumeshaweka comments zetu.

Hata sura yake inaonesha huyo ni mhindi na si Msaudi, kacheza game huyo apate ukimbizi na hifadhi.

Cheza na wadosi akili kubwa.

Hiyo game mbona inachezwa sana na wadosi.


Tafadhali tupia link ya huo uzi maana hii sura ni kihindi kabisa
 
huyo sio mhindi baba yake ni governor huko saudi arabia
Porojo hizo, ma Governor wa Saudi Arabia wote ni Royal Family na hakuna Royal Family wa Saudi Arabia mwenye (surname) jina Kanoni.

A list of the Kingdom’s regions and governors are:

MAKKAH — Prince Khalid Al-Faisal

JAZAN — Prince Mohammed bin Nasser bin Abdulaziz

RIYADH — Prince Faisal bin Bandar bin Abdulaziz

TABUK — Prince Fahd bin Sultan bin Abdulaziz

ASIR — Prince Faisal bin Khalid bin Abdulaziz

EASTERN PROVINCE — Prince Saud bin Naif bin Abdulaziz

NAJRAN — Prince Juluwe bin Abdulaziz bin Musaed

QASSIM — Prince Dr. Faisal bin Mishaal bin Saud bin Abdulaziz

AL-BAHA — Prince Dr. Husam bin Saud bin Abdulaziz

HAIL — Prince Abdulaziz bin Saad bin Abdulaziz

AL-MADINAH AL-MUNAWARAH — Prince Faisal bin Salman bin Abdulaziz

NORTHERN BORDER — Prince Faisal bin Khalid bin Sultan bin Abdulaziz

AL-JOAF — Prince Badr bin Sultan bin Abdulaziz

Source: King Salman meets governors of Saudi regions

Hivi huwa mnafikiri sisi sote majuha kama nyinyi eenh?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom