Familia yataka kumuua mtoto wao kisa kubadili dini

Yote hayo hayo uliondika ni sahihi kasoro Moja hilo la kusema sababu ni kutaka kubadili dini. Tuwekee link hapa kama usemavyo ni ukweli. Nachokiona una agenda yako ya siri kuchangaya ukweli na uzushi kwa faida unayoijua mwenyewe.
Mie sina hizo chuku naona wewe ndo unakuja juu....binti kabadili dini huyo....hutaki....wanataka kumuua huyo hutaki......amekuwa akinyanyaswa na familia yake hutaki.....amekuwa akifungiwa ndani na kukatwa nywele zake huyo hutaki......Sasa ameamua kutafuta hidhafi Canada na kuachana na dini ya kiislam hutaki.....unataka nini Sasa.....
 
View attachment 992399

Binti Raia wa Saudia Rahaf Mohammed Alqunun (18) ambae alikimbilia nchini Thailand akihofia kuuawa na familia yake baada ya kujitoa kwenye dini ya Kiislamu amepatiwa hifadhi na Serikali ya Canada nchini humo.
Huyu atakuwa ana asili ya kihindi,huwenda huu mchezo umechezwa ili aingie nchi za ulaya kiulaini,wahindi wajanja sana.
 
Kwanza nyimbo zilikuwa mtoto wa Governor, kuwaonesha majina ya magovernor wote wa Saudi Arabia na uongo wenu kuwa batili sasa kawa msaudia tu wa kawaida!

Mnachekesha kwa ujuha wenu.
Na hili je
Screenshot_2019-01-13-23-16-21.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom