Familia yataka kumuua mtoto wao kisa kubadili dini

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,788
4,490
IMG_20190112_125444.jpg

Binti Raia wa Saudia Rahaf Mohammed Alqunun (18) ambae alikimbilia nchini Thailand akihofia kuuawa na familia yake baada ya kujitoa kwenye dini ya Kiislamu amepatiwa hifadhi na Serikali ya Canada nchini humo.
 
View attachment 992399

Binti Raia wa Saudia Rahaf Mohammed Alqunun (18) ambae alikimbilia nchini Thailand akihofia kuuawa na familia yake baada ya kujitoa kwenye dini ya Kiislamu amepatiwa hifadhi na Serikali ya Canada nchini humo.
Yule mbibi faiza foxy aje ajionee mambo huku.
Sasa hako ka Moja tuu! Msikilizenni gwajiiima kwa makundi huko ulimwenguni hadi inampata hofu ya is
 
Tunashukuru Canada imempa hifadhi binti huyu jasiri.

Najua ujasiri wa binti huyu ni habari mbaya kwa FaizaFoxy

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo upo uzi wake hapa hapa JF tumeshaweka comments zetu.

Hata sura yake inaonesha huyo ni mhindi na si Msaudi, kacheza game huyo apate ukimbizi na hifadhi.

Cheza na wadosi akili kubwa.

Hiyo game mbona inachezwa sana na wadosi.
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom