Familia yataka kumuua mtoto wao kisa kubadili dini

Huyo upo uzi wake hapa hapa JF tumeshaweka comments zetu.

Hata sura yake inaonesha huyo ni mhindi na si Msaudi, kacheza game huyo apate ukimbizi na hifadhi.

Cheza na wadosi akili kubwa.

Hiyo game mbona inachezwa sana na wadosi.
Kwahiyo wazazi wake sio waislam
 
Utapasuka wewe..na chuki zako ka waislam
Mie sina hizo chuku naona wewe ndo unakuja juu....binti kabadili dini huyo....hutaki....wanataka kumuua huyo hutaki......amekuwa akinyanyaswa na familia yake hutaki.....amekuwa akifungiwa ndani na kukatwa nywele zake huyo hutaki......Sasa ameamua kutafuta hidhafi Canada na kuachana na dini ya kiislam hutaki.....unataka nini Sasa.....
 
Nyuzi kama hizi hazitakiwi zidumu ata kidogo

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
View attachment 992399

Binti Raia wa Saudia Rahaf Mohammed Alqunun (18) ambae alikimbilia nchini Thailand akihofia kuuawa na familia yake baada ya kujitoa kwenye dini ya Kiislamu amepatiwa hifadhi na Serikali ya Canada nchini humo.
Dini ya kuua watu wakibadili, ila ukiingia hahahaha wanakushangilia, ila ukitoka wanakuua, hakuna tofauti na shetani na hii dini, pole zake waumini wa shetani
 
Huyo upo uzi wake hapa hapa JF tumeshaweka comments zetu.

Hata sura yake inaonesha huyo ni mhindi na si Msaudi, kacheza game huyo apate ukimbizi na hifadhi.

Cheza na wadosi akili kubwa.

Hiyo game mbona inachezwa sana na wadosi.
@Faiza fox acha uongo. Kwani mtu wa Saudi hawezi badili dini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom