Falsafa ya CCM ya Uhuru na kujitegemea ndiyo inayolifaa bara la Africa katika Karne hii ya sasa.

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,652
Reaction score
2,696
Licha ya heshima kubwa waliojijengea wafuasi na wanachama wa CCM nchini na Duniani kwa kudumisha uzalendo na kuheshimu utu wa watu, CCM ni chama cha kizalendo kwelikweli kwani Bado kinaamini kwenye falsafa ya uhuru na kujitegemea, hakimsujudu beberu yoyote kinajiamini kwenye utendaji kazi wake.

Imekiwa ni heshima mtu kujiita mwana CCM kutokana na heshima ya chama hiki Bora Tanzania, CCM imejijengea desturi ya unyenyekevu kwa watu wote,
Kwa CCM matusi ni mwiko, majiono ni mwiko, nk
 
Of course, ndio maana tulithubutu kuwauliza "who are you"?

Ila Siku chache tuu mbele waziri wa mambo ya nje anazurura kwa kina who are you kujielezea "who are we" kwa lengo la kuwambeleza waendelee kutisaidia. Akili za matopeni kabisa hizi.
 
Licha ya heshima kubwa waliojijengea wafuasi na wanachama wa CCM nchini na Duniani kwa kudumisha uzalendo na kuheshimu utu wa watu, CCM ni chama cha kizalendo kwelikweli kwani Bado kinaamini kwenye falsafa ya uhuru na kujitegemea, hakimsujudu beberu yoyote kinajiamini kwenye utendaji kazi wake.

Imekiwa ni heshima mtu kujiita mwana CCM kutokana na heshima ya chama hiki Bora Tanzania, CCM imejijengea desturi ya unyenyekevu kwa watu wote,
Kwa CCM matusi ni mwiko, majiono ni mwiko, nk
CCM is a terrorist organisation, not a political party. Chama Cha Magaidi
 
CCM ndio sababu ya matatizo ya nchi hii 80%!, CCM ilikuwaga enzi za nyerere na mkapa huko saiz chama kimepoteza mvuto hata kwa wananchi.
 
Licha ya heshima kubwa waliojijengea wafuasi na wanachama wa CCM nchini na Duniani kwa kudumisha uzalendo na kuheshimu utu wa watu, CCM ni chama cha kizalendo kwelikweli kwani Bado kinaamini kwenye falsafa ya uhuru na kujitegemea, hakimsujudu beberu yoyote kinajiamini kwenye utendaji kazi wake.

Imekiwa ni heshima mtu kujiita mwana CCM kutokana na heshima ya chama hiki Bora Tanzania, CCM imejijengea desturi ya unyenyekevu kwa watu wote,
Kwa CCM matusi ni mwiko, majiono ni mwiko, nk

Screenshot_20251219-132538~2.png
 
CCM ndio sababu ya matatizo ya nchi hii 80%!, CCM ilikuwaga enzi za nyerere na mkapa huko saiz chama kimepoteza mvuto hata kwa wananchi.
Wananchi tutaendelea kuichagua CCM
 
Licha ya heshima kubwa waliojijengea wafuasi na wanachama wa CCM nchini na Duniani kwa kudumisha uzalendo na kuheshimu utu wa watu, CCM ni chama cha kizalendo kwelikweli kwani Bado kinaamini kwenye falsafa ya uhuru na kujitegemea, hakimsujudu beberu yoyote kinajiamini kwenye utendaji kazi wake.

Imekiwa ni heshima mtu kujiita mwana CCM kutokana na heshima ya chama hiki Bora Tanzania, CCM imejijengea desturi ya unyenyekevu kwa watu wote,
Kwa CCM matusi ni mwiko, majiono ni mwiko, nk
ccm ndo chama kikubwa kuliko vyote afrika
 
UMASIKIN
STRESS
NJAA
ELIMU DUNI
USALITI

ni vitu vibaya sana
 
Toa ushahidi au maoni kwa Tume kuhusu matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi mkuu kwa SMS/WhatsApp: 0743 040890 au kupitia https://tume.uchunguzi.go.tz.

Back
Top Bottom