si ungem-pm tu kumueleza haya?
Habari wanajamii?,sio siri huyu dada/mama Faizafoxy maarufu kama FF namkubali sana kwenye post na uachangiaji wake. Yaani kama nisipopata kitu basi ntacheka sana the way ana-comment,.hongera sana..kama hutajari pls ni-PM umri na elim yako.
mke wa mtu unamtakia nini umri? elimu? umetangaza ajira mkuu? FF anaother admirer.....mwaka huu wako mamie!Habari wanajamii?,sio siri huyu dada/mama Faizafoxy maarufu kama FF namkubali sana kwenye post na uachangiaji wake. Yaani kama nisipopata kitu basi ntacheka sana the way ana-comment,.hongera sana..kama hutajari pls ni-PM umri na elim yako.
Ukianza shule mpya lazima utakutana na watu wababe wanaotumia nguvu kuwakubali na kuwaogopa;
Na ukitaka usalama wako ni lazima ujibendekeze.
Ndicho tunachokiona wageni JF wanaogopa maneno ya ukali na kutisha kwa hiyo wanaanza kujipendekeza.
Habari wanajamii?,sio siri huyu dada/mama Faizafoxy maarufu kama FF namkubali sana kwenye post na uachangiaji wake. Yaani kama nisipopata kitu basi ntacheka sana the way ana-comment,.hongera sana..kama hutajari pls ni-PM umri na elim yako.
FaizaFoxy ni Nunda la JF..
Yaani akipigwa ban JF inapwaya sana..Ha! Haa! Haaa!
]Hakunaga mwanamke kama Faiza.... hakunaga....
JF # 1 Celebrity Source: Faiza Mwenyewe.... Verified by response ya wana JF Wenyewe....
Habari wanajamii?,sio siri huyu dada/mama Faizafoxy maarufu kama FF namkubali sana kwenye post na uachangiaji wake. Yaani kama nisipopata kitu basi ntacheka sana the way ana-comment,.hongera sana..kama hutajari pls ni-PM umri na elim yako.
Ahsante kwa misifa.
Umri wangu ni around 50
Elimu yangu ni ya Madrasa't Jamiatul Islamiya fi Tanganyika.
Kama kuna "feature" ambayo siipendi humu JF basi ni hiyo ya PM.
Ahsante Kajole, wengine hawapendi hiyo na watakuchukia kwa kunipenda hawajui kuwa "hii ni bahati yangu" - Sabah Muchacho (wifi langu).