FF hana kitu. Anahaha kushoto na kulia ili kumwaga sumu. Ila sasa kapitiliza na watu wameshaanza kumpuuza kama Malaria Sugu. Itabidi aje na jina jingine maana hili watu wameshaanza kulichoka.
Ukianza kubishana naye, basi wee unakuwa Mpumbavu. Si mnakumbuka ule msemo?
Halafu ni mwepesi sana maana jana nilimvurumisha kwa maneno na wala hakujibu tena kitu.
Ukitaka kumpatia FF, basi jiingize kwenye ubongo wake na uanze kuongea kama yeye.
Ukijifanya una busara kwa FF eti unamuelimisha, basi unatwanga maji. Utamuelimishaje anayeelewa?
Ndiyo maana dr. Slaa anasema waziwazi kuwa FF anapotosha umma.
FF mpenzi, leo nimepata ubani wa nguvu bila Konyagi na Viagra pori. Ntafanya tena jaribio na kuchoma ubani na kukuita.