Faiza foxy kweli kiboko!.

hivi ff huwa unatetea nini hasa? Sijawahi kuona umeunga hoja popote hata kama ina mantiki kiasi gani. Najua una akili lakini husomeki hata chembe. Hata mi huwa najiuliza wewe ni wa aina gani
 
FaizaFoxy ni Nunda la JF..
Yaani akipigwa ban JF inapwaya sana..Ha! Haa! Haaa!

Acheni kumpa SIFA ZA KIJINGA!! kichwa kikajaa upepo mpaka kikabasti......yeye ni nani hapa jamvini mpk akiondoka kupwaye?!! mwe!
POPOBAWA.
 
wameniudhi walipokosa nidhamu na kumgandisha Waziri Mkuu, ule ni ukosefu wa adabu na kujifanya wao ni bora.

Kweli we kilaza!! na kusifiwa koote hapo juu unaandika upupu kama huu, hivi nikuulize unajua ni kwa nn walimgandisha?! au unaandika kufurahisha akili yako?
POPOBAWA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom