Faiza Foxy ameuteka moyo wangu

Faiza Foxy ameuteka moyo wangu

You must be into granny-sex mkuu.
Then a good question is, have you ever been in love?
I've to tell FAIZA how I feel about her.
Love is a lot like a backache, it doesn't show up on x-rays, but you know it's there.

This woman does mean a lot to me, you can't see my determination
 
Mhhh, kumbe tupo wengi tuliomzimia FF? Hili SHANGAZI bana, sijui limechanjia dawa?

Kwa kweli mie nimetokea sana kumzimia kwa kipindi kirefu, yeye na Juliana Shonza.

Siku nikimpata, lazima huu wimbo upigwe na tucheze naye usiku mzima 🙂 Yallah, Habibi Sugar 🙂


Huyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku.
Bibie naomba usikilize kilio changu, nimeshindwa kuvumilia natangaza ndoa

Chunga usije sarandia dume jenzio.
 
Last edited by a moderator:
Huyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku.
Bibie naomba usikilize kilio changu, nimeshindwa kuvumilia natangaza ndoa

Huyo ni kikongwe.

Nilishawai ona siku moja akisema kwamba "miaka ya 60 wakati wanafanya semina sehemu flan"
 
Mkuu huyu ni mtu mzima sana anaaproach 60 now....Pia ni muislam mwenye msimamo mkali sana......Yan ni mdiniiiiiiiii kuanzia kichwani hadi kwenye unyayo...Yeye aliwahi kuwasifia waziwazi alshabab na alqaeda kwa jinsi wanavyoua wakristu.........waiiii wewe nawe una pepo!

Kweli aliwasifia?
Nae leo asifiwe kwa kula kitimoto MAWENI
 
miye nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa ff ni ke mmmh kama ni ke kweli basi atakuwa ke talented kuwahi kumshuhudia
 
Mkuu huyu ni mtu mzima sana anaaproach 60 now....Pia ni muislam mwenye msimamo mkali sana......Yan ni mdiniiiiiiiii kuanzia kichwani hadi kwenye unyayo...Yeye aliwahi kuwasifia waziwazi alshabab na alqaeda kwa jinsi wanavyoua wakristu.........waiiii wewe nawe una pepo!


basi huyo ni mtu mzima ovyo,hana tofauti na ISIS wanaolipua hata miji mitakatifu ya kiislam kama vile medina
 
Huyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku.
Bibie naomba usikilize kilio changu, nimeshindwa kuvumilia natangaza ndoa
Moyo mashine.....
 
Unamjua face to face? Ahaaaaaa fanya kumjua afu utupe mrejesho naona unaingia cha kike
 
miye nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa ff ni ke mmmh kama ni ke kweli basi atakuwa ke talented kuwahi kumshuhudia
Mume wake SI yule mpare anaeletaga thread zake huku za namna gani VIP, ushanipata kiongozi
 
Back
Top Bottom