Faiza Foxy ameuteka moyo wangu

Faiza Foxy ameuteka moyo wangu

Huyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku.
Bibie naomba usikilize kilio changu, nimeshindwa kuvumilia natangaza ndoa
Hahaaa......
Nakusalimu
 
Nini kimempata huyu FaizaFoxy au nae kapata hizi nafasi za uteuzi wa rais (ingawa sina hakika na umri wake) mpaka anakosa muda wa ku post huku maana imekua kimya sana
 
Back
Top Bottom