Faiza Foxy ameuteka moyo wangu

Faiza Foxy ameuteka moyo wangu

wewe kijana unamtaka mshangazi aisee wewe mkali sana huyu sijui kala ban mpaka sasa hajaongea..
 
Mara nyingine kama hizi ziwekeni jukwaa la jokes maana mtu unaingia umejiandaa kucheka.
 
Kila mtu na mamuzi yake muhusika tuu aje kujibuu
 
Kuna watu watatongoza wazazi wao umu ndani.
Vigezo vyake je umefuga ndevu za kutosha?
 
Umejiunga jana hapa JF, leo hii unatangaza ndoa na FF!
Shame on you!
huyu bana atakua member wa humuhumu sema kaamua kuja id nyngne feki!chezeiya humu watu wana id hata kumi jaman hahaha
 
Analiwa na nape huyo we kaa kizembe ata hivyo ametumika sana temana nae
 
( : حركة الشباب المجاهدين ‎; Ḥ
 
Huyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku.
Bibie naomba usikilize kilio changu, nimeshindwa kuvumilia natangaza ndoa

‎...: الشباب ‎
 
Asante sana mkuu KakaKiiza , ushauri wako mzuri sana na wenye kutia moyo
 
Back
Top Bottom