Uungwana Vitendo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,344
- 531
MinalfaidhinEid Mubarak
MinalfaidhinEid Mubarak
Swadaktaaa, mkuu hapo hapokwa mbali nimekupata
kumbe tunakupenda wengi! nilijua peke yangu. umewahi cheki Harold and Maude?Eid Mubarak
Harold and Kumar bwana!!!!!kumbe tunakupenda wengi! nilijua peke yangu. umewahi cheki Harold and Maude?
nilikuwa nazungumzia hii mkuu ya 1971.Harold and Kumar bwana!!!!!
ndo hivyoHahahahahahah
hahaaaaaaa hilo nalo kwazo sipatii pichaChunga usije sarandia dume jenzio.
Chunga usije sarandia dume jenzio.
Kwaiyo anatembea na kafirAnaliwa na nape huyo we kaa kizembe ata hivyo ametumika sana temana nae
Nakupenda na mimi
Mahabat...
Huyo ni kikongwe.
Nilishawai ona siku moja akisema kwamba "miaka ya 60 wakati wanafanya semina sehemu flan"
Ndoa hata kabla ya uchumba, au mahusiano yameanza zamani!Huyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku.
Bibie naomba usikilize kilio changu, nimeshindwa kuvumilia natangaza ndoa
Hiyo familia ukijiingiza ujue umeumia!ndio kusema kahtaan Ritz watakuwa mashemeji zako!? laaaa haulaaaaaaa..
by the way naskia kaka MziziMkavu ndio mume.
Usijali ni wanakutania tuu.Kwa uzi huu hakika ujinga ni sifa halisi ya Watanzania wengi.
Siwashangai.