Faiza Foxy ameuteka moyo wangu

Faiza Foxy ameuteka moyo wangu

Huyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku.
Bibie naomba usikilize kilio changu, nimeshindwa kuvumilia natangaza ndoa

Mkuu huyu ni mtu mzima sana anaaproach 60 now....Pia ni muislam mwenye msimamo mkali sana......Yan ni mdiniiiiiiiii kuanzia kichwani hadi kwenye unyayo...Yeye aliwahi kuwasifia waziwazi alshabab na alqaeda kwa jinsi wanavyoua wakristu.........waiiii wewe nawe una pepo!
 
Huenda ana id zaidi ya 1 au alikua anaingia kama mgeni na kwa njia hiyo akajikuta moyo wake umemdondokea bibie na ili aelee hisia zake kaamua kujiunga kabisaaaa. Hebu tusubiri aje mlengwa

Nimekupata vema Ablessed!
 
Last edited by a moderator:
Jiandae kutafutwa na CIA au FBI huyo ni Samatha Lendowithe (white widow) anatafutwa kwa kufanya suicide bomb so wewe Jiandae kwenda Guentanamo bay

duh...Usimtishe kijana
 
Back
Top Bottom