Huyo ni mke wa yule jamaa aliyekuwa anajiita Malaria SuguHuyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku.
Bibie naomba usikilize kilio changu, nimeshindwa kuvumilia natangaza ndoa
Huyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku.

hapana bwanaHahahahahahaha jamani si kaeleza hisia zake huenda na yeye ni mtu mzima na anajiheshimu .
Mmmmh!!
He.... makubwa haya, mbona nasikia FaizaFoxy ni taasisi, iweje umefall in love kwa taasisi?