SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,052
- 2,846
Wachache sana wanaweza kuyatamka haya maneno hadharani..
Nafahamu ndio mtazamo wa wengi lakini nani mwenye ubavu wa kumfunga paka kengele?
Hebu mwambie haya maneno mama lara 1 kama hajakutoa baru...........
Nafahamu ndio mtazamo wa wengi lakini nani mwenye ubavu wa kumfunga paka kengele?
Hebu mwambie haya maneno mama lara 1 kama hajakutoa baru...........
..Siku hizi having fun na kuenjoy kuna maana zaidi!!!!!!! Its better nijiachie na a guy anayenivutia kuliko kujiachia na jitu halivutii ila ndo lenye msimamo wa ndoa! Give me a breakkkkkkkk! MY HAPPINESS AND ENJOYMENT COMES FIRST!..Haina kulazimishana siku hizi! Huko kwenye mechi za kirafiki mkikolezana nd mwaoana coz upendo unakuwa genuine!
Hii mbinu yenu ya 1980s ilifanikiwa enzi hizo watu wanatoka shamba hukooo! Ila kwa sie born here here! Aaaaaah Wapi! Humpati mtu mbona! Utazeeka bila kudo!
Last edited by a moderator: