Fair Game Katika Mahusiano!!!!!!!! Kuwepo Rules na Guidelines!!!!!!

Fair Game Katika Mahusiano!!!!!!!! Kuwepo Rules na Guidelines!!!!!!

Na hii ndio inayowakuta vijana wengi...mnakuwa bado mpo mpo ila kwa sababu jamaa kamind mzigo unadhani basi ndio anakubeba...unajisahau na kudhani kila kitu kimetimizwa..mwisho wa siku majuto meeeengi...jipeni muda na msichukulie kila kitu seriously...wa ukweli atakuja tu wala havutwi kwa sumaku...............

wajua nn hiyo ya kusema mtu amempotezea muda wake ni kwakuwa hakuwa wazi 4m the begining, shosti anakuwa bize na jamaa akijua amehit jackpot kumbe msela yuko kwenye mazoezi ktk kumpata the one...ila mkiwa wazi tangu mwanzo hayo ya kusema umepotezewa muda haitokuwa relevant kwani mhusika anakuwa ameridhia mwenyewe...mie niliwahi mdamp jamaa kutokana na situation ka hiyo!!!
 
Hahahaaaaaa! Wapo watu wanatumia 1980s technique ya USINIKUBALI HARAKA HARAKA!!!!!!!!! Basi bi dada ndo kuzungusha na kuzungusha! Akikubalia Ana assume tu huyu KANIPENDAAA! Unaona hapo chaka linapoanzia!!!!!!!! Hakuna anaeweka wazi malengo yake au anaeulizia malengo ya mwenzie! Wote mnajiassumisha kila mmoja kinachomfurahisha hata kama kiko ndivo sivo!!!!!!

Ndo maana nasisitiza hizi zama ukitumia mbinu za zamani umekwishaaaaaaaaa! Unaongejea 5 years afu chalii!!!!!!!!!! Unatafuta pa kuweka sura yako! Ukweli na Uwazi ndo mpango mzimaa!

jamani sie wa zamaniaa mbona tulikuwa very smart sana kwenye relationships??
sisi tulijua kila uhusiano lazima uzae ndoa, hivyo ukiwa na bf jambo la kwanza ni kumuuliza vip kuhusu kwenda kwa wazazi na ndoa?? akileta za kuleta unapiga chini fasta manake tuliaminishwa kwambaaaaaaaa lazima utolewe bikra na muameo na hasa kwa uchagani ile nyama ilokuwa inapelekwa kwenu ukiwa bikra ilileta heshima sana kwa wazazi wako.

hivyo sie tuliulizia haya toka mwanzo tofauti nikwamba tulikuwa na narrow option tofauti na nyie wa kileo
 
kwa mwono wangu hiyo rule haiapply:sote tunajua its just a game, tumeweka rules na regulations...sasa hiyo usinikubali haraha haraka inaingia vip?? kama game yenyewe ni ya one week?? hiyo probation period itakuwa ya muda gani?? and why should i apply that rule wakati najua its just a friendly match na anytime refarii aweza puliza kipenga kusitisha pambano??
Sasa naulizaje ile mbinu yetu sugu ya USINIKUBALI HARAKA HARAKA!!!!! Hapa ina blend vipi? Manake ile mbinu nayo ya muhimu kweli! Ina raha yake!!! Sitting back while enjoying watching him sweat for it!!!!!! It was kind of sexy i must admit!!!!

Au katika hii model ya kisasa, Hukatai katai kama 1990's isipokuwa unatoa mixed signals ili kupitisha kale ka probation period!!!!! LOLEST!
 
Tatizo wanaume nao wamekuwa 'waongo' mno baada ya kugundua kuwa wengi wa wadada wanataka 'assurance'..na wao kwa sababu they know what they are doing wala hawaoni taabu kuzitoa...ndio maana 'regrets' zimekuwa nyingi sana..ningewashauri msiwe mnakamia mechi...treat every single game as 'a friend match'..jamaa akihit the jackjpot basi na wewe fungukia hapo hapo.....

Hivi hao watu wa kufukuzia mdada miezi sita au mwaka mzima bado wapo kweli?

Wengine tupo straight tunaweka karata mezani kwenye second date or 3rd date.. Na tena tunawekana wazi kabisa kwamba mambo ya marriage could happen if God wishes..

Ukishaanza kuzungusha zungusha tunakubali matokeo tumekosa tu na move on,, harakati za maisha, career world, business world zinatupa stress nyingi sana vijana wa kisasa.. Sasa na wewe naekufukuzia uniongezee stress za nini?

Stress tutazipata kwa wife tukishapanda church lakini kwa tunaokutana njiani kwenye jungle la mawindo ni fasta fasta tunawekana wazi kila mtu ajue mapema inakuaje
 
sikuhizi si kila relationship lazima izae ndoa, kwani kama ingekuwa hivyo basi vijana wengi wangekuwa washaingia kwenye maisha ya ndoa!!! sasa kwa kulitambua hilo ndo mana inabidi ziwepo rules kuguide hizo game za kirafiki kuepusha maumivu yasiyo ya lazima...
jamani sie wa zamaniaa mbona tulikuwa very smart sana kwenye relationships??
sisi tulijua kila uhusiano lazima uzae ndoa, hivyo ukiwa na bf jambo la kwanza ni kumuuliza vip kuhusu kwenda kwa wazazi na ndoa?? akileta za kuleta unapiga chini fasta manake tuliaminishwa kwambaaaaaaaa lazima utolewe bikra na muameo na hasa kwa uchagani ile nyama ilokuwa inapelekwa kwenu ukiwa bikra ilileta heshima sana kwa wazazi wako.

hivyo sie tuliulizia haya toka mwanzo tofauti nikwamba tulikuwa na narrow option tofauti na nyie wa kileo
 
sikuhizi si kila relationship lazima izae ndoa, kwani kama ingekuwa hivyo basi vijana wengi wangekuwa washaingia kwenye maisha ya ndoa!!! sasa kwa kulitambua hilo ndo mana inabidi ziwepo rules kuguide hizo game za kirafiki kuepusha maumivu yasiyo ya lazima...

sikatai hilo na ninaliafiki ila tu mm nimejaribu kuwaonyesha kwamba since those days bado watu tulikuwa tunataka terms na condition ziwe highlighted ili kuepusha kutokuelewana mbeleni.
 
ahahahahah tu-treat every game as a friendly match!!! thanx well noted, wajua assurance ama security ni ka nature kwa wanawake kuhitaji, haliepukiki hilo, tatizo ni kuwa women wengi wameshindwa kugo with ths new flow..wengi wana-apply mambo ya 19 kweusi
Tatizo wanaume nao wamekuwa 'waongo' mno baada ya kugundua kuwa wengi wa wadada wanataka 'assurance'..na wao kwa sababu they know what they are doing wala hawaoni taabu kuzitoa...ndio maana 'regrets' zimekuwa nyingi sana..ningewashauri msiwe mnakamia mechi...treat every single game as 'a friend match'..jamaa akihit the jackjpot basi na wewe fungukia hapo hapo.....
 
hahahahah SnowBall sasa huu ushauri ama dongo??
Na hii ndio inayowakuta vijana wengi...mnakuwa bado mpo mpo ila kwa sababu jamaa kamind mzigo unadhani basi ndio anakubeba...unajisahau na kudhani kila kitu kimetimizwa..mwisho wa siku majuto meeeengi...jipeni muda na msichukulie kila kitu seriously...wa ukweli atakuja tu wala havutwi kwa sumaku...............
 
Last edited by a moderator:
Tatizo wanaume nao wamekuwa 'waongo' mno baada ya kugundua kuwa wengi wa wadada wanataka 'assurance'..na wao kwa sababu they know what they are doing wala hawaoni taabu kuzitoa...ndio maana 'regrets' zimekuwa nyingi sana..ningewashauri msiwe mnakamia mechi...treat every single game as 'a friend match'..jamaa akihit the jackjpot basi na wewe fungukia hapo hapo.....
hhahahahah! SnowBall siku hizi dates zimekuwa za kuviziana sana. yani si ke wala me ambao wako fair kila mtu anavizia kama anataka kumkaba mtu. sishangai kuskia kijana kamkamia binti alipomkubalia kuzini nae hadi akajinywea na maviagra ili tu amkomoe. huku binti nae anakamia mpaka atoke japo na kavits kama siyo shopping ya fenicha za ndani.
 
Last edited by a moderator:
Mmmh... Mie zamani nilidhani nawafahamu wanaume na hawawezi kunidanganya..!! Kumbe nilijidanganya mwenyewe..

Unakutana na mwanaume anajiapiza yuko single na anadiriki mpaka kuja kwa wazazi, ukimwambia akupeleke kwake anakupeleka kwa mshkaji wake ambaye ni single akijifanya pale ndio kwake kumbe muongo..!!

Ukisharidhika na kujiachia nae kwa masarakasi ya kufa mtu, ndio hapo unakuja kugundua ana mke na watoto wawili... Ukimshutumu anakwambia ningekwambia ukweli tangu mwanzo usingenikubali....

Unabaki kutoa mimacho kwa hasira..!!
 
Sasa naulizaje ile mbinu yetu sugu ya USINIKUBALI HARAKA HARAKA!!!!! Hapa ina blend vipi? Manake ile mbinu nayo ya muhimu kweli! Ina raha yake!!! Sitting back while enjoying watching him sweat for it!!!!!! It was kind of sexy i must admit!!!!

Au katika hii model ya kisasa, Hukatai katai kama 1990's isipokuwa unatoa mixed signals ili kupitisha kale ka probation period!!!!! LOLEST!

Ha ha ha Lara 1 ile ya usikubali haraka imeshapitwa na wakati!! Hivi hata haya ya bila mkataba a.k.a kutumbuana kwa haja nako kuna kutokubali haraka? Issues zikishakuwa wazi maana yake ni kulana raha tu maminto!!! Ila wajameni mbona hii kitu sex ni wazimu sana? Probation period ni hours!!! Ha ha ha!! Ila lakini Lara 1 unaona ni muda gani unafaa kumzungusha jamaa anayekuja kwa gear ya mavituz? Huko nyuma mtu unapiga miaka kitu hakitolewi!! Siku hizi mmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhh!!
 
hhahahahah! SnowBall siku hizi dates zimekuwa za kuviziana sana. yani si ke wala me ambao wako fair kila mtu anavizia kama anataka kumkaba mtu. sishangai kuskia kijana kamkamia binti alipomkubalia kuzini nae hadi akajinywea na maviagra ili tu amkomoe. huku binti nae anakamia mpaka atoke japo na kavits kama siyo shopping ya fenicha za ndani.

Ni kweli dadaangu unayosema..yaani dates zimekuwa za kuviziana wala si uongo...si umemsoma hapo juu Neylu anavyolalamika!....Bado nawashauri wadogo zangu wa kike kutotumbukia 'mazima' aisee...na wewe mtoto wa kike usidhani kila relationship itazaa 'ndoa'...zingine zipo tu just kupitisha muda...ikizingatiwa 'vigezo na masharti'...vimetolewa..BTW dadaangu gfsonwin.. wewe na shemeji ilikuwaje?...ulimpa muda au ilibidi????.................................
 
Last edited by a moderator:
Kuwapata watu wa kukwambia hivyo ni nadra sana! Kama wange kuwepo wengi wa hivyo nadhani vilio kwenye mahusiano vinge pungua sana!

Tatizo linapo kuja ni watu kujaa maigizo!
 
yan ole wake mtu anitongoze eti anataka good time tu.kwani me changudoa??si uende pale mwembe jini kinondon ukapate huduma??nakwambia patachimbika na unaweza ondoka bila viatu au bila suruali kabisa.
me ni mwanamke nina heshima zangu eti one night stand!am totaly against haya makitu yan siyapendi.kama ni boyfriend basi vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
ndiyo tunasema hapa kina loya muwe wawazi..acheni kuwapa mashosti matumaini ya uongo while ur there to enjoy...be open na hilo litakuepushia matatizo lukuki yasiyo lazima...
Kuwapata watu wa kukwambia hivyo ni nadra sana! Kama wange kuwepo wengi wa hivyo nadhani vilio kwenye mahusiano vinge pungua sana!

Tatizo linapo kuja ni watu kujaa maigizo!
 
hahahahah umenifurahisha kweli...so wapenda kudanganywa?? kipi bora ..akueleze ukweli ama apretend then akimaliza haja zake asepe akuache kwenye mataa, afu baada ya short time wasikia kaoa???
yan ole wake mtu anitongoze eti anataka good time tu.kwani me changudoa??si uende pale mwembe jini kinondon ukapate huduma??nakwambia patachimbika na unaweza ondoka bila viatu au bila suruali kabisa.
me ni mwanamke nina heshima zangu eti one night stand!am totaly against haya makitu yan siyapendi.kama ni boyfriend basi vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Pole sana mdogo wangu kumbe hujawajua wanaume..watu wanaliaga machozi unajua huyu ndiye..mpe kidude uone??..si

bora muwekeane masharti toka mwanzo ili ijulikane kama ni 'league' au 'friend match'...

.
yan ole wake mtu anitongoze eti anataka good time tu.kwani me changudoa??si uende pale mwembe jini kinondon ukapate huduma??nakwambia patachimbika na unaweza ondoka bila viatu au bila suruali kabisa.
me ni mwanamke nina heshima zangu eti one night stand!am totaly against haya makitu yan siyapendi.kama ni boyfriend basi vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!!

Peopleeeeeeeeeeeeesss!!!!!!!!!!!! (Salam ndo inamalizia mwaka)

Leo nikiwa safarini bana nimekutana na wakuja flani hivi! Basi kaanza michakato ya kuomba chance! Kikubwa ni sound zake ndo haswaa zimenileta kuanzisha thread! Alikuwa very open! Like a book! Kasema black n white! Yuko interested na mimi, katoa wasifu wake ikazi, maisha na vingne! Ila akasisitiza yeye yuko interested kupeana good times na kupiga game za kirafiki! Kafunguka kuwa yeye hana mpango wa kuoa leo wala kesho so ni bora nikajua what im getting into!!!!! Khaaaaaaa! Pia kadai kuwa nikiwa nae ni kuspend quality time mwanzo mwisho! Hakuna ahadi ahadi za uongo wa kuoana au kutambulishana kwa wazazi! Ni just two adults having good times! Kama nipo tayari nimbeep! Nikapewa na business card! Khaaaaaaaaa! Kwenda na wakati huku!!!!!! Ila nimependa hii design mpya ya putting all the cards on the table!!!!!

Imekuwa ni jambo la kawaida katika mahaba wengi wetu kuwa si wa waziii!!!!!!!! Jst imagine unaenda kumuomba mtu nafasi moyoni mwake, ilhali unajijua kabisaa utakacho ni game tu! Au huna uhakika nini unataka ila unamchota mwenzio akili kuwa yeye ndo chaguo lako! Mda wotee mko mwenzio anakaa kukuimpress yeye ni wife material! Drama haziishi! Hata quality time mnasahau!!!!! Tabu ya nini vijana wadogo!!!!!! Kuwa muwazi tu kuwa nini unataka toka kwa mwenzio! Au kama hujielewi mwambie i like you ila kuhusu ndoa sina uhakika for now! Kesi za kupotezeana muda zinakuwa hakunaaa! Kila mtu anajua atakacho vuna hapo! Uwazi ndo fashion ya sasa! Hata vizinga vinapungua na drama zitaisha! Ni goodtimes mwanzo mwisho!

Hata MBA's (Married but Available) Katika hizo responsible cheatting zenuu hii policy inawafaa sanaaa! We mwambie bibi dada mi nina mke na wanangu hapa kwako ni kula goodtimes too! Siku quality ya goodtimes ikishuka nakuacha! Stress * 2 za wife na zako sizitaki! Mambo ya unanizalia siyataki! Sijakuomba! Be carefull ukishika mimba situnzi huyo mtoto zawadi yako! Na uwe na adabu ya kujali mambo yako, mke wangu hakuhusu kabisaaaa! Uko tayari? Akikubali basi mnakuwa on the same page! Hata we mdada unaejivinjari na kijigallow chako nje ya ndoa hivo hivo set the rules na boundaries! Sio tabia yenu ya kuvua pete na uongo mwingiii! Some times the Truth is Sexy!

Kweli kabisaa, uwazi wa nini unakitaka katika hayo mahusiano kwanza yanaonesha ni mkweli, pili Umepevuka na kukomaa kimahaba! Tatu hujipi madeni yasiyo na msingi! Hujaahidi usichoweza kukitimiza! Nnne mizambi unapunguza tano! Tano unampa mtu chance ya kuamua vingine akipata nafasi! Sita Mnazingatia zaidi jambo la msingi la kula maraha kuliko kuimpressiana!, Saba kila mtu ana follow the rules! zile mambo za kufatiliana hakuna! Kila mtu anabaki na uhuru wake!, Nane Unakuwa in control na unaretain control! Tisa! Hupimiwi game coz ndo sababu ya msingi ya kuhusiana! sio sababu saidizi! Kumi malizia mwenyewe!

Nyie mwaonaje hizi changes za times!!!!!!!!!
Mkubali anaweza kukuoa people do change their minds
 
Back
Top Bottom