Judges, MCs wako biased....
wanatakiwa kujitahidi kuwa fair na kuzuia hisia
Ila Walter katishaaa
Kwani Walter ni kama aliyeimbwa kwenye ule wimbo wa ''Wanamwuita Kaka p.a huyu jamaa!!!!'' Maana Salama anatamani kwenda nae Nyumbani! wakati sifa za Salama ni Mills... Asije mlegeza Jamaa kabla hajawa Mshindi!
yaani leo kuimba nyimbo mpya mpya ni sawa na mkeo mjamzito afu unataka kumpachika nyingine.
afu Mc's wa mwaka huu hata kubadili nguo hakuna??
Nimewachoka na nguo zao, hata Mpoki anawashinda?

Ha ha haaaaaaa, nalo nenooo.
yaani leo kuimba nyimbo mpya mpya ni sawa na mkeo mjamzito afu unataka kumpachika nyingine.
afu Mc's wa mwaka huu hata kubadili nguo hakuna??
Nimewachoka na nguo zao, hata Mpoki anawashinda?
yaani Vanesa kavaa skin tait lakini imekuwa kubwa kama nyanya puzo!
Hatimae Vanesa kabadilisha nyanya puzo lake
Hiyo nayo ni mbinu mchezoniUkweli ni kwamba hana uwezo wa kuimba wa washiriki wenzake lakini anajua kucheza na audince vyema.