Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

Wabaaabaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Pamoja na promo zooote zoote, Wababa kwishney, nimefurahijeeeeeee
 
Kuna mtu aliniambia piga ua mshindi ni lazima awe SALMA YUSUPH........

Eti kwa sababu anatokea Zanzibar na ZANTEL ndio wadhamini wa EBSS..........
 
Masta J kawaita majaj wenzake masnitch..kazi kwelikweli..Wababa is out,fainal ni Salma na Walter.
 
mie nouma natabiri zaid ya pweza wa ujer , wababa kawa wamama. Walter mkali lakini mshindi na salma.
 
Kuna mtu aliniambia piga ua mshindi ni lazima awe SALMA YUSUPH........

Eti kwa sababu anatokea Zanzibar na ZANTEL ndio wadhamini wa EBSS..........

Siamini hilo lakini naamini kabisa hata uwezo wake ni mkubwa. Sasa mashabiki wa Wababa sijui watamshangilia nani.
 
mtihani uko naked kabisa.

Lazima tulinde Muugano jamani.

Kuna mtu aliniambia piga ua mshindi ni lazima awe SALMA YUSUPH........

Eti kwa sababu anatokea Zanzibar na ZANTEL ndio wadhamini wa EBSS..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom